Kukataa mimba, kutelekeza watoto na kuwanyima huduma au kutowahudumia — wanaume mnakwama wapi?

Tena hapo ndipo wapo wengi, hela ya mtoto unafanya shopping, mara vikoba sijui michezo hela yenyewe ukipata sijui inaenda wapi, yote tisa wakijaribu kuulizwa kuhusu hela za mtoto, ndipo matusi yana anza.

Sometimes ukitaka kuishi na hawa wanawake unatakiwa UWADHARAU na KUWAPUUZIA la sivyo ndio hivyo utasusa kumuhudumia mtoto au utaishia kumpiga, wewe cha msingi ukiona anazingua tafuta njia nyingine ya kuhakikisha kwamba hela inamfikia mtoto basi.
 

Wewe ulikataa mimba ukiwa na sababu za msingi, wenzio wengi wanakataa sababu hawazitaki tuu
Halafu hongera kwa kulea watoto wako
 
Wewe ni mwanamke ila hujui mengi kuhusu wanawake. Wanawake wengi pasua kichwa kwa maana unaingia kwenye mahusiano nae unakuwa hujui tabia zake. Muda kidogo unagundua yuko na mahusiano mengine pia na hayo mahusiano unagundua hata jana tu walikuwa wote. Unaamua kumpiga chini. Siku kadhaa mbele anakuambia ana mimba. Hapo hata yeye mwanamke hajui ni ya nani kati ya aliodate nao,ila anawaambia wote tu,upepo utajulikana mbele.

Kwa hiyo asilimia kubwa ya wanaume haawaamui tu kuzaa na pasua kichwa,na mwanaume unakuta hana mpango wa kuzaa,ila inatokea hivyo.

Wanakuambia 60% ya wanawake walio kwenye ndoa. Watoto sio wa baba mwenye nyumba.

Juzi kati hapo kuna mwanamke alileta tred hapa,yuko kwenye ndoa lakini watoto wa3 wa mtu wa nje. Akafariki yule mchepuko. Anatamani aende akawatambulishe watoto,wapate mgao wa marehemu. Hapo kumbuka yuko kwenye ndoa. Wanawake pasua kichwa. Hata hawajui nini wanataka
 

We nawe unahangaikaa, ila unajitetea tu, walete nao tuwasikilize.

Kama una mashaka pima DNA beba majukumu yako. Haina kujiterea hiyo.
 
Usizae na mtu hajakuoa
 
Wewe ni mwanamke ila hujui mengi kuhusu wanawake. Wanawake wengi pasua kichwa kwa maana unaingia kwenye mahusiano nae unakuwa hujui tabia zake. Muda kidogo unagundua yuko na mahusiano mengine pia na hayo mahusiano unagundua

Unaposema wanawake siku hizi ni pasua kichwa wakati huo wewe ni malaika? Mshaambiwa hakuna mwanamke mwenye tabia, tabia zake zitareflect zako. Hivyo badili zako nae hatokuwa pasua kichwa. Vichwa vya familia mnakwama wapi[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Kama hiyo nafasi imewashinda hebu semeni.
 
Umesema ”mmeshaambiwa”. Tumeambiwa na nani?. Na MUNGU? au tumeambiwa na nani?.


Yaani mfano kijana anaingia kwenye mahusiano na msichana. Huyo kijana malengo yake ni kumuoa huyo msichana. Wameenda miezi miwili,mitatu,anagundua yule msichana ana mahusiano na mtu mwingine kitambo tu. Sasa hapo tabia za huyo msichana zime-akisiwa (reflect) vipi na tabia za huyo msichana?.

Pili Umesema kijana abadiri tabia zake,afuate kile anachofanya msichana kuwa na wawili,watatu?
Vichwa vya familia bado tuko imara. Ila tu ule mkutano wa Beijing china umewafanya nyie kutaka vingi kwa pupa. Hata ongea yako kichwani mmejawa na tamaa. Mnatamani kuwa vichwa vya familia,huku mnatamani pia upate uwezo wa kumiliki kwa haraka kama vile anavyomiliki mwanaume. Mnakwama sana,ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwa sababu ya nyie kujua kwingi. Ujajanja janja wenu
 
"Muishi nao kwa akili" kama hauna akili usitafute wa kumlaumu. Jilaumu mwenyewe.
 
Wanaume wanaume tunzeni watoto wenu
Lakini mwanamke unapoamua kuzaa tu na hauko kwenye ndoa hua unawaza nini? Hivi unajua kwamba wanawake wanaolalamika kutelekezwa asilimia kubwa ni wale wasiokua ndani ya ndoa? Ni nadra Sana mwanaume kutelekeza watoto/mtoto alieza ndani ya ndoa. Wanawake jitahidini muache kuzazaa tu na wanaume wasiokua waume zenu wa ndoa. Na unapoamua kuzalishwa tu na yeyote anaejitokeza uwe tayari pia kwa lolote.
 
"Muishi nao kwa akili" kama hauna akili usitafute wa kumlaumu. Jilaumu mwenyewe.
Wapi nimekutafuta kukulaumu. Nijilaumu mimi kwa lipi?. Kuishi nao kwa akili ni pamoja na kumpiga chini na kumtelekezea mtoto aliechanganya material
 

Fanya research ndogo mtaani kwako na kule kijijini kwenu kuhusu maada halafu urudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…