Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua alitongoza mabinti Kadha wa kadha mtaani baada ya kukataliwa ndo anakuja kumalizia machungu JamiiForums.