Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
Mkuu sio kwa wanawake wa kizazi hiki cha 1995-mpaka leo, nafikiri hao unaowataja watakuwa walitoweka 1912 TITANIC ilipozama.Mimi navyojua mwanamke akikupenda kweli anaweza ridhika na ww hata kama huna hela nyingi.
TRUTH BE TOLD A MAN IS LOVED ON THE BASIS OF WHAT HE CAN PROVIDE hapo kwenye PROVISION NDO PESA ZINAINGIA.....