Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Mbona na nyie wanaume wakiwalatalia mnashidwa kuweka makasiriko kando
Kwa sababu wanaume ni warahisi, so nikimtongoza akakataa naona kama nimejidhalilisha alafu kanidharau like kanichukuliaje na vitu kama hivyo ndo vinazalisha makasiriko.

Ila ya kwenu ni PRO MAX😂😂😂😂
 
Hiyo uwongo,kwamba watatu kwa siku wote wakatae labda huyo mtu huwa anawatongoza kwa kuwaponda na kuwatukana lakini kama anatumia ile lugha inayoeleweka,dunia ya sasa ilivyo rahisi anaondoka nao wote.

Kuna week niliokota # za wadada 8 ule muda ambao nipo idle baada ya kazi nikatulia nikatongoza mmoja mmoja aliyenikatalia ni mmoja na hakukataa bali alikuwa kesho yake aondoke mkoani so tusingeweza kuonana tena.
Ohoo bas sawa
 
Wakati takwimu mbalimbali zikionyesha mimba shuleni, vyuoni zikipungua, Mwananchi limebaini kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo.
 
Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua alitongoza mabinti Kadha wa kadha mtaani baada ya kukataliwa ndo anakuja kumalizia machungu JamiiForums.
Kwanza tufahamu , wewe ni ke au me?
 
Mkuu Hapa umeandika kwa hisia Kali sana
Dunia ya leo hakuna mwanamke wa kukataa mwanaume ikiwa amekidhi kigezo kimoja kikuu - FEDHA.

Hivyo machungu ya wanaume wengi humu juu ya wanawake ni kukosa fedha za kuwapata wanaowataka. Na ndio maana utasikia wanawake wanapenda pesa.

Unakuta jitu linaomba namba ya simu kwa demu halafu kutwa kuview status na kucomment 'wow wow' kama king'ora cha ambulance. Hapo lina kazi ya kutuma mashairi ya nyimbo za mbosso kama dedication bila kutoa hata senti moja sasa hapo usikataliwe mchezo.

Na hao ndio design ya wakandiaji wakuu wa mademu humu kusema nilimpenda kidhati kwa kujiona kama wahindi kuimbiana kwenye mvua ndio mapenzi kusahau pesa ndio inayopendwa zaidi.
 
Kwa sababu wanaume ni warahisi, so nikimtongoza akakataa naona kama nimejidhalilisha alafu kanidharau like kanichukuliaje na vitu kama hivyo ndo vinazalisha makasiriko.

Ila ya kwenu ni PRO MAX😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Wee kunyimwa mbususu kunauma basi tuu hamjui. Kama hivi ninawamaind wadada wa jf mnanipiga vibuti tuu huko pm.

Ila muache makasiriko wanawake pia tukiwakataa....ndio hivyo preferences jamani kama nyie tuu
 
🤣🤣🤣🤣🤣polee weee usivunjike moyo huko PM muda utaongea😂😂😂😂😂😂

Sawa😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣polee weee usivunjike moyo huko PM muda utaongea😂😂😂😂😂😂

Sawa😂
Ah nyie wazee wa dakika mbili na andunje andunje hamtutaki
 
Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua alitongoza mabinti Kadha wa kadha mtaani baada ya kukataliwa ndo anakuja kumalizia machungu JamiiForums.
🤣🤣🤣📌📌📌
 
Back
Top Bottom