Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Kwa nilivyomuelewa anazungumzia makasiriko ya wanaume wengi kuhusu Ke ni sababu wanakataliwa si kwamba anatamba kutongozwa. Navyoelewa yeye ni mwanaume anazungumzia alichokiona kwa baadhi ya wanaume wenzake kama nimekosea atanisahihisha.Ukisema kupigwa chini means wanatamba kwamba wanatongozwa
Angalau atajipa muda hatakua na papara.Mwanamke anayejiheshimu anafanyaje
Nikki wa pili dc na hela alizokua nazo still amegongewa na mtoto juu, haji manara na hela zake mke alimkimbiaDunia ya leo hakuna mwanamke wa kukataa mwanaume ikiwa amekidhi kigezo kimoja kikuu - FEDHA.
Hivyo machungu ya wanaume wengi humu juu ya wanawake ni kukosa fedha za kuwapata wanaowataka. Na ndio maana utasikia wanawake wanapenda pesa.
Unakuta jitu linaomba namba ya simu kwa demu halafu kutwa kuview status na kucomment 'wow wow' kama king'ora cha ambulance. Hapo lina kazi ya kutuma mashairi ya nyimbo za mbosso kama dedication bila kutoa hata senti moja sasa hapo usikataliwe mchezo.
Na hao ndio design ya wakandiaji wakuu wa mademu humu kusema nilimpenda kidhati kwa kujiona kama wahindi kuimbiana kwenye mvua ndio mapenzi kusahau pesa ndio inayopendwa zaidi.
Unakuta mwanaume mzima asubuli Binti mpaka achakae na aliwe na wanaume wenzake afikishe miaka 30 yeye eti ndo ampatePamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua alitongoza mabinti Kadha wa kadha mtaani baada ya kukataliwa ndo anakuja kumalizia machungu jamii forum
Kama unajielewa ni wewe na mpo wangapi mnaojielewa?ngono sasa hivi mtaani inapatikana kwa urahisi sana ndiyo maana hata thamani ya ndoa vijana hawaioni wanawake wanajirahisi mno.Duuh!! Uliokota namba za makahaba rafiki. Yaan kitendo cha kutoa namba, mtongozo hapo hapo kukubaliwa. Mwanamke anaejielewa na kujiheshimu hawezi fanya hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool VPN kaajiriwa serikalini mkuuuu ila anawapiga chini kwenye ndoa litutumbwe katumia 1M bila kuonja papuchi mkuuu bado unangangania hiii hoja Countrywide kabambikiwa mtoto mkuuu tena na mtu wa kawaida japokuwa yy ni DC na alimhudumia mama zuryDunia ya leo hakuna mwanamke wa kukataa mwanaume ikiwa amekidhi kigezo kimoja kikuu - FEDHA.
Hivyo machungu ya wanaume wengi humu juu ya wanawake ni kukosa fedha za kuwapata wanaowataka. Na ndio maana utasikia wanawake wanapenda pesa.
Unakuta jitu linaomba namba ya simu kwa demu halafu kutwa kuview status na kucomment 'wow wow' kama king'ora cha ambulance. Hapo lina kazi ya kutuma mashairi ya nyimbo za mbosso kama dedication bila kutoa hata senti moja sasa hapo usikataliwe mchezo.
Na hao ndio design ya wakandiaji wakuu wa mademu humu kusema nilimpenda kidhati kwa kujiona kama wahindi kuimbiana kwenye mvua ndio mapenzi kusahau pesa ndio inayopendwa zaidi.
Hivi katika dunia ya leo kuna mwanamke ana msuli wa kukataa mwanamume? Wanawake wote wanaelewa vema lugha moja tu, wawe ndani ya ndoa au nje. Iko lugha moja ambayo huisikia vema. Nenda kutafakari tena andiko lako hili ujue ukweli.Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua alitongoza mabinti Kadha wa kadha mtaani baada ya kukataliwa ndo anakuja kumalizia machungu jamii forum
Afadhali umesema aseee hawa wake za watu tunawakojolea sana sanaaaa tuKama unajielewa ni wewe na mpo wangapi mnaojielewa?ngono sasa hivi mtaani inapatikana kwa urahisi sana ndiyo maana hata thamani ya ndoa vijana hawaioni wanawake wanajirahisi mno.
Mfano hai mwamposa 😁😁😁Kiukweli vibuti huwa vinauma mno, mtoto wa kiume inabidi uvizoee na kuona kitu cha kawaida. Siyo lazima kila mwamamke awe wako. Kuna hatua utafika kwenye maisha hutatumia nguvu kupata mwanamke.
Jamaa mjinga sana huyu sisi tunaogonga wake za watu kwenye vanguard walizonunuliwa na waume zao tusemeje sasa 🤔Nikki wa pili dc na hela alizokua nazo still amegongewa na mtoto juu, haji manara na hela zake mke alimkimbia
Diamond na utajiri wote anaishi maisha ya kimalaya ameshindwa kusettle na mwanamke
Usifikiri hela ndo kila kitu utakua nazo still kuna wanawake watakua wanakukataa, hela ni ya muhimu ila sio kila kitu kama unavyotaka kuaminisha watu
Go sit in solitude
Duuh!! Uliokota namba za makahaba rafiki. Yaan kitendo cha kutoa namba, mtongozo hapo hapo kukubaliwa. Mwanamke anaejielewa na kujiheshimu hawezi fanya hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app