Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Ukisema kupigwa chini means wanatamba kwamba wanatongozwa
Hapana. Kwa nilivyomuelewa anazungumzia makasiriko ya wanaume wengi kuhusu Ke ni sababu wanakataliwa si kwamba anatamba kutongozwa. Navyoelewa yeye ni mwanaume anazungumzia alichokiona kwa baadhi ya wanaume wenzake kama nimekosea atanisahihisha.
 
Inawza kuwa kwel kwa baadhi ya watu sio kila msafara ni wa mamba tu ,kwenye misafara ya mamba ata kenge wapo.
 
Dunia ya leo hakuna mwanamke wa kukataa mwanaume ikiwa amekidhi kigezo kimoja kikuu - FEDHA.

Hivyo machungu ya wanaume wengi humu juu ya wanawake ni kukosa fedha za kuwapata wanaowataka. Na ndio maana utasikia wanawake wanapenda pesa.

Unakuta jitu linaomba namba ya simu kwa demu halafu kutwa kuview status na kucomment 'wow wow' kama king'ora cha ambulance. Hapo lina kazi ya kutuma mashairi ya nyimbo za mbosso kama dedication bila kutoa hata senti moja sasa hapo usikataliwe mchezo.

Na hao ndio design ya wakandiaji wakuu wa mademu humu kusema nilimpenda kidhati kwa kujiona kama wahindi kuimbiana kwenye mvua ndio mapenzi kusahau pesa ndio inayopendwa zaidi.
Nikki wa pili dc na hela alizokua nazo still amegongewa na mtoto juu, haji manara na hela zake mke alimkimbia

Diamond na utajiri wote anaishi maisha ya kimalaya ameshindwa kusettle na mwanamke

Usifikiri hela ndo kila kitu utakua nazo still kuna wanawake watakua wanakukataa, hela ni ya muhimu ila sio kila kitu kama unavyotaka kuaminisha watu
 
Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua alitongoza mabinti Kadha wa kadha mtaani baada ya kukataliwa ndo anakuja kumalizia machungu jamii forum
Unakuta mwanaume mzima asubuli Binti mpaka achakae na aliwe na wanaume wenzake afikishe miaka 30 yeye eti ndo ampate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!! Uliokota namba za makahaba rafiki. Yaan kitendo cha kutoa namba, mtongozo hapo hapo kukubaliwa. Mwanamke anaejielewa na kujiheshimu hawezi fanya hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajielewa ni wewe na mpo wangapi mnaojielewa?ngono sasa hivi mtaani inapatikana kwa urahisi sana ndiyo maana hata thamani ya ndoa vijana hawaioni wanawake wanajirahisi mno.
 
Dunia ya leo hakuna mwanamke wa kukataa mwanaume ikiwa amekidhi kigezo kimoja kikuu - FEDHA.

Hivyo machungu ya wanaume wengi humu juu ya wanawake ni kukosa fedha za kuwapata wanaowataka. Na ndio maana utasikia wanawake wanapenda pesa.

Unakuta jitu linaomba namba ya simu kwa demu halafu kutwa kuview status na kucomment 'wow wow' kama king'ora cha ambulance. Hapo lina kazi ya kutuma mashairi ya nyimbo za mbosso kama dedication bila kutoa hata senti moja sasa hapo usikataliwe mchezo.

Na hao ndio design ya wakandiaji wakuu wa mademu humu kusema nilimpenda kidhati kwa kujiona kama wahindi kuimbiana kwenye mvua ndio mapenzi kusahau pesa ndio inayopendwa zaidi.
Liverpool VPN kaajiriwa serikalini mkuuuu ila anawapiga chini kwenye ndoa litutumbwe katumia 1M bila kuonja papuchi mkuuu bado unangangania hiii hoja Countrywide kabambikiwa mtoto mkuuu tena na mtu wa kawaida japokuwa yy ni DC na alimhudumia mama zury

Mimi nalala na mke wa mtu mkuuu ingawa sina senti za kuvimba mmewe kila siku yuko nje ya nchi

In short pesa ina play part ndogo sana kwenye mapenzi ya kweli mkuuuu endelea kuwa simp utakufa huku unajiona hii ni mifano michache tu
 
Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua alitongoza mabinti Kadha wa kadha mtaani baada ya kukataliwa ndo anakuja kumalizia machungu jamii forum
Hivi katika dunia ya leo kuna mwanamke ana msuli wa kukataa mwanamume? Wanawake wote wanaelewa vema lugha moja tu, wawe ndani ya ndoa au nje. Iko lugha moja ambayo huisikia vema. Nenda kutafakari tena andiko lako hili ujue ukweli.
 
Nikki wa pili dc na hela alizokua nazo still amegongewa na mtoto juu, haji manara na hela zake mke alimkimbia

Diamond na utajiri wote anaishi maisha ya kimalaya ameshindwa kusettle na mwanamke

Usifikiri hela ndo kila kitu utakua nazo still kuna wanawake watakua wanakukataa, hela ni ya muhimu ila sio kila kitu kama unavyotaka kuaminisha watu
Jamaa mjinga sana huyu sisi tunaogonga wake za watu kwenye vanguard walizonunuliwa na waume zao tusemeje sasa 🤔
 
Me alinichekesha yule wa wasichana wafukuzwe majumbani..

Njia zote za kupata dame umekosa unaona bora wafukuzwe ukawe mwokozi. Unataka kuwa superman? 😂😂
images (59).jpeg
 
Duuh!! Uliokota namba za makahaba rafiki. Yaan kitendo cha kutoa namba, mtongozo hapo hapo kukubaliwa. Mwanamke anaejielewa na kujiheshimu hawezi fanya hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli
Mtu anakuomba namba lazima uulize nini sababu ya mawasiliano
Akijibu tu nataka tujuane zaidi unamuacha hapo
Namba inatolewa ikiwa ni sababu ya kazi au biashara
 
Back
Top Bottom