Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Upo sahihi.Kama unajielewa ni wewe na mpo wangapi mnaojielewa?ngono sasa hivi mtaani inapatikana kwa urahisi sana ndiyo maana hata thamani ya ndoa vijana hawaioni wanawake wanajirahisi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app