Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Ngoja nimalizie mechi ya Tan Vs Ug nirudi

Hii topic iko moto narudi kusoma comments
 
Mtu mpaka ukajiripiuwa na kwenda kumtongoza mdada mana hua ushajiripua, Haya umeeka pembeni unakwenda kujaribu bahati yako, Ukishabwaga ndipo unapoanza kujuta kwa ulivodhalilika.
 
Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua alitongoza mabinti Kadha wa kadha mtaani baada ya kukataliwa ndo anakuja kumalizia machungu JamiiForums.
WE DOGO, HIVI SIKU HIZI KUNA KUKATALIWA KWELI. !?
HAWA WADUDU WAKO KILA SEHEMU, UNAWEZAJE KUKOSA?
 
Dunia ya leo hakuna mwanamke wa kukataa mwanaume ikiwa amekidhi kigezo kimoja kikuu - FEDHA.

Hivyo machungu ya wanaume wengi humu juu ya wanawake ni kukosa fedha za kuwapata wanaowataka. Na ndio maana utasikia wanawake wanapenda pesa.

Unakuta jitu linaomba namba ya simu kwa demu halafu kutwa kuview status na kucomment 'wow wow' kama king'ora cha ambulance. Hapo lina kazi ya kutuma mashairi ya nyimbo za mbosso kama dedication bila kutoa hata senti moja sasa hapo usikataliwe mchezo.

Na hao ndio design ya wakandiaji wakuu wa mademu humu kusema nilimpenda kidhati kwa kujiona kama wahindi kuimbiana kwenye mvua ndio mapenzi kusahau pesa ndio inayopendwa zaidi.
[emoji23][emoji23]
 
Ila sio wote wanaopenda pesa
Una uhakika mkuu??
kama kuna mdada unamjua anayeweza kuridhika na kile kidogo nachopata cha kumuhudumia naomba unistue, wanna get in a relationship, shida sina pesa za kutosha...
 
Una uhakika mkuu??
kama kuna mdada unamjua anayeweza kuridhika na kile kidogo nachopata cha kumuhudumia naomba unistue, wanna get in a relationship, shida sina pesa za kutosha...
Mimi navyojua mwanamke akikupenda kweli anaweza ridhika na ww hata kama huna hela nyingi.
 
Mimi navyojua mwanamke akikupenda kweli anaweza ridhika na ww hata kama huna hela nyingi.
1681240100237.jpg
 
Hajasema mambo ya kutotongozwa bali anazungumzia malalamiko ya wanaume wengi khs Ke huenda inachangiwa na kupigwa chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kutongoza nikakataliwa huwa nasikia tu kwa watu.

Mwanamke anaanzaje kumkataa mwanaume mwenye lugha ya kawaida tu hata kama hana pesa?

Nina wake wawili lakini nipo na mwanafunzi wa chuo fulani kama mchepuko binti analazimisha ndoa awe mke wa tatu lakini nampiga stop.

Hapo nilimtongoza akiwa anajua kabisa nina familia ya wake wawili na watoto lakini bado alinielewa.

Ndo maana najiuliza mwanamke anaanzaje kumkataa mwanaume wakati mie huwa napanga sababu za kuwatema na kuwakwepa wengine niliowatongoza kisha nikawaacha hewani.
 
Back
Top Bottom