ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Kwa sababu wanaume ni warahisi, so nikimtongoza akakataa naona kama nimejidhalilisha alafu kanidharau like kanichukuliaje na vitu kama hivyo ndo vinazalisha makasiriko.Mbona na nyie wanaume wakiwalatalia mnashidwa kuweka makasiriko kando
Ila ya kwenu ni PRO MAX😂😂😂😂