Lazima aumie imagine mtu ametongoza watu 3 kwa siku wote wamemkataaPamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua alitongoza mabinti Kadha wa kadha mtaani baada ya kukataliwa ndo anakuja kumalizia machungu jamii forum
Anaishi dunia gani huyo anayekataliwa na wanawake watatu kwa siku na kwanini anatongoza watatu kwa siku?Lazima aumie imagine mtu ametongoza watu 3 kwa siku wote wamemkataa
Duh! Sasa tutakubali wangapi?Hakuna mwanamke anakataa akitongozwa,hata wake za watu hawakatai skuizi...
[emoji2][emoji2][emoji2]Dunia ya leo hakuna mwanamke wa kukataa mwanaume ikiwa amekidhi kigezo kimoja kikuu - FEDHA.
Hivyo machungu ya wanaume wengi humu juu ya wanawake ni kukosa fedha za kuwapata wanaowataka. Na ndio maana utasikia wanawake wanapenda pesa.
Unakuta jitu linaomba namba ya simu kwa demu halafu kutwa kuview status na kucomment 'wow wow' kama king'ora cha ambulance. Hapo lina kazi ya kutuma mashairi ya nyimbo za mbosso kama dedication bila kutoa hata senti moja sasa hapo usikataliwe mchezo.
Na hao ndio design ya wakandiaji wakuu wa mademu humu kusema nilimpenda kidhati kwa kujiona kama wahindi kuimbiana kwenye mvua ndio mapenzi kusahau pesa ndio inayopendwa zaidi.
NAKAZIA AYA YA KWANZA hapo ulipotaja FEDHA.Dunia ya leo hakuna mwanamke wa kukataa mwanaume ikiwa amekidhi kigezo kimoja kikuu - FEDHA.
Hivyo machungu ya wanaume wengi humu juu ya wanawake ni kukosa fedha za kuwapata wanaowataka. Na ndio maana utasikia wanawake wanapenda pesa.
Unakuta jitu linaomba namba ya simu kwa demu halafu kutwa kuview status na kucomment 'wow wow' kama king'ora cha ambulance. Hapo lina kazi ya kutuma mashairi ya nyimbo za mbosso kama dedication bila kutoa hata senti moja sasa hapo usikataliwe mchezo.
Na hao ndio design ya wakandiaji wakuu wa mademu humu kusema nilimpenda kidhati kwa kujiona kama wahindi kuimbiana kwenye mvua ndio mapenzi kusahau pesa ndio inayopendwa zaidi.
Wapi iliandikwa unapowasiliana na binti uliyeomba namba yake ni lazima uwe unampatia pesa kwa mahitaji yake?!Dunia ya leo hakuna mwanamke wa kukataa mwanaume ikiwa amekidhi kigezo kimoja kikuu - FEDHA.
Hivyo machungu ya wanaume wengi humu juu ya wanawake ni kukosa fedha za kuwapata wanaowataka. Na ndio maana utasikia wanawake wanapenda pesa.
Unakuta jitu linaomba namba ya simu kwa demu halafu kutwa kuview status na kucomment 'wow wow' kama king'ora cha ambulance. Hapo lina kazi ya kutuma mashairi ya nyimbo za mbosso kama dedication bila kutoa hata senti moja sasa hapo usikataliwe mchezo.
Na hao ndio design ya wakandiaji wakuu wa mademu humu kusema nilimpenda kidhati kwa kujiona kama wahindi kuimbiana kwenye mvua ndio mapenzi kusahau pesa ndio inayopendwa zaidi.
OkWapi iliandikwa unapowasiliana na binti uliyeomba namba yake ni lazima uwe unampatia pesa kwa mahitaji yake?!
Kwani ni mkewe huyo hadi amtengee bajeti ya matumizi?
Hiyo uwongo,kwamba watatu kwa siku wote wakatae labda huyo mtu huwa anawatongoza kwa kuwaponda na kuwatukana lakini kama anatumia ile lugha inayoeleweka,dunia ya sasa ilivyo rahisi anaondoka nao wote.Lazima aumie imagine mtu ametongoza watu 3 kwa siku wote wamemkataa
Duuh!! Uliokota namba za makahaba rafiki. Yaan kitendo cha kutoa namba, mtongozo hapo hapo kukubaliwa. Mwanamke anaejielewa na kujiheshimu hawezi fanya hayo.Hiyo uwongo,kwamba watatu kwa siku wote wakatae labda huyo mtu huwa anawatongoza kwa kuwaponda na kuwatukana lakini kama anatumia ile lugha inayoeleweka,dunia ya sasa ilivyo rahisi anaondoka nao wote.
Kuna week niliokota # za wadada 8 ule muda ambao nipo idle baada ya kazi nikatulia nikatongoza mmoja mmoja aliyenikatalia ni mmoja na hakukataa bali alikuwa kesho yake aondoke mkoani so tusingeweza kuonana tena.
Hajasema mambo ya kutotongozwa bali anazungumzia malalamiko ya wanaume wengi khs Ke huenda inachangiwa na kupigwa chini.Na msipotongozwa munaomba na kukesha na kuona na kutoa machozi mwa hisia wanaume mbona hawanioni
Mwanamke huwezi shindana na mwanaume kwenye muktdha mzima wa mahusiano itakula kwako tu
Ukisema kupigwa chini means wanatamba kwamba wanatongozwaHajasema mambo ya kutotongozwa bali anazungumzia malalamiko ya wanaume wengi khs Ke huenda inachangiwa na kupigwa chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anayejiheshimu anafanyajeDuuh!! Uliokota namba za makahaba rafiki. Yaan kitendo cha kutoa namba, mtongozo hapo hapo kukubaliwa. Mwanamke anaejielewa na kujiheshimu hawezi fanya hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app