Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Mimi navyojua mwanamke akikupenda kweli anaweza ridhika na ww hata kama huna hela nyingi.
Mkuu sio kwa wanawake wa kizazi hiki cha 1995-mpaka leo, nafikiri hao unaowataja watakuwa walitoweka 1912 TITANIC ilipozama.

TRUTH BE TOLD A MAN IS LOVED ON THE BASIS OF WHAT HE CAN PROVIDE hapo kwenye PROVISION NDO PESA ZINAINGIA.....
 
Hivi bado mnahangaika tu na uchi wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…