Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Kwa video hiyo?una shida ya macho? hilo goli lilishadhibitishwa ni halali,Kipyanga cha mwisho kilishatoa ufafanuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa video hiyo?una shida ya macho? hilo goli lilishadhibitishwa ni halali,Kipyanga cha mwisho kilishatoa ufafanuzi
video ipo clear brother. haina chenga yeyoteKwa video hiyo?
ni Kazi refa msaafu, anachambua matukio kiundani zaidi na kuonyesha katika angle nyingi. mikanganyiko yote anaitatua kwa sheria 17Mimi sina ushabiki wa timu zenu za Kariakoo, lakini naamini goli lile lilikuwa halali. Ila huyo Kipyenga cha mwisho ni nani mpaka awe mthibitishaji wa magoli?
Ili kuondoa utata na fursa za washika vibendera kukataa magoli ni bora ule upande apige anayetumia shoto au ipigwe kona fupi kama goli la pili la Simba vs Genda.ni Kazi refa msaafu, anachambua matukio kiundani zaidi na kuonyesha katika angle nyingi. mikanganyiko yote anaitatua kwa sheria 17
yaani wewe jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. yaani wachezaji waache kutumia fursa wanayoiona (kama Chama alivyoona) kwa sababu ya ujinga wa refa?Ili kuondoa utata na fursa za washika vibendera kukataa magoli ni bora ule upande apige anayetumia shoto au ipigwe kona fupi kama goli la pili la Simba vs Genda.
Halafu hapo nimeandika Genda,yaani wewe jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Video kama hii ndo ilitakiwa ionyeshwe na Azam, lakini matokeo yake tunakuja kuipata kwa shabiki alieingia uwanjani.
Uko sahihi kwa upande mmoja, akipiga wa shoto upande ule wa kulia ata curve kwa ndani ya uwanja, sio nje. Lakini kwanini tufikie huko kuwapangia mtu wa kupiga Kona?Ili kuondoa utata na fursa za washika vibendera kukataa magoli ni bora ule upande apige anayetumia shoto au ipigwe kona fupi kama goli la pili la Simba vs Genda.
Hichi sio tukichotakiwa kupewa sisi Subscribers, pia TFF waliangalie hili kama ni sehemu ya mkataba.Mkuu Mimi nilikua uwanjani kamela zilikua tatu tu moja ilikua chini mbili zilikua juu ya lile Banda mpaka nikawa na shangaa tena zote zilikua usawa mmoja Yani katikati ya uwanja
Yaani kama siyo mashabiki na wenyewe kuchua video ngumi zingekuwa zinalika sana bila sababu kumbe tatizo kamerabakhresa kwenye camera ameshindwa kuwekeza.
Anaona hasara kununua camera moja kwa milion 200
Yaani kama siyo mashabiki na wenyewe kuchua video ngumi zingekuwa zinalika sana bila sababu kumbe tatizo kamera
Sasa yanga si ndo baba wa kulalamika vitu vya kishenzi Simba kuongezewa dakikaMalalamiko FC.
Wameubeba mzigo mzito kuliko uwezo wao. Na hii ni kwasababu ya kukosa ushindani.Azam wanaboa Sana , unakuta Kila replay ya tukio lolote lazima waweke slow motion.
Sijui Nani kawakalolisha kila Replay ya tukio Fulani ni lazima liwe in Slow Motion.
Huwa nakeleka Sana ni Basi tunakosa kampuni nyingine.
Halafu hao TFF kwanini wasifanye Kama Uingereza ? Ambapo katika ligi kuu ya uingereza Kampuni za television zimegawana Mechi na Sio kampuni moja kupewa mechi zote za ligi.
Pale Uingereza Early Kick off zote ( Mechi za mapema ) amepewa BT sports na zile Late Kick off kapewa Sky Sports.
Na Bongo ingebidi kuwa hivyo Labda mechi za Saa 8 Kuna kuwa na kampuni nyingine, mechi za Saa 10 jioni kampuni nyingine na zile za Saa 2 Kuna kampuni nyingine. Au hata Kama kampuni inakuwa ni moja lakini iwe imepitia kwenye tenda na amewashinda wengine, hii ingeongeza ushindani Sana.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nadhani Wameubeba mzigo mzito kuliko uwezo wao. Na hii ni kwasababu ya kukosa ushindani.Azam kwenye kamera bado sana,hili suala ni mda mrefu wadau wa soka wamekuwa wakiliongelea hapa lakin wamefeli kufanya maboresho
Labda wafanye review ya mkataba yule supersport alikataliwa sababu ya uzwazwa tuu akapeleka pesa Zambia!!!Hichi sio tukichotakiwa kupewa sisi Subscribers, pia TFF waliangalie hili kama ni sehemu ya mkataba.