Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

Kwema Wakuu,

Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi vyenu automatically tunakua tumeingia makubaliano (implied contract ) kua mtatuonyesha mpira katika ubora wake.

Goli lililofungwa baada ya Kona ya Shomari Kapombe lilikataliwa kwa madai kua Mpira huo ulizungukia kwanza nje (curve) kabla kisha ukarudi ndani. Mpaka mpira unaisha Azam wameshindwa kuonyesha hiyo "Curve". Hata Watangazaji wenyewe wamebaki na kigugumizi maana hakuna Video kuthibitisha mpira uli curve nje ya mstari.

Solution hapa ilikua ni kuwepo kamera kwenye kila kona (kibendera) lakini kwa ubahili wa Azam wameshindwa kuweka. Ina maana Simba jana wangeweza kusema Refa aliwahujumu kumbe maamuzi ya Refa yalikua sahihi.

Au tuseme ingekua ndio Coastal Union wamefunga lile goli likakataliwa ingeweza kudhaniwa Simba anabebwa. Hii yote ni sababu Azam wameshindwa kuweka Kamera za kutosha Uwanjani.

Nawaza ni kiasi gani tunalipia ving'amuzi ambavyo kila kukicha vinapanda bei, na Kamera ni kiasi gani kwa kampuni kama Azam kushindwa kuweka kila pembe ya uwanja. Hii si sawa, na ni unyonyaji mkubwa tunafanyiwa.
Mkuu
Nimesoma maoni yako ambayo ni mazuri sana!!, Nitachamgia kadiri ya Uwezo Wangu Kwa maana ninavyoelewa.
.
Swali la kwanza tujiulize kwa nini hakuna utata katika mechi zinazochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa?
.
Jibu rahisi ni kwa kuwa ule Uwanja unakidhi VIWANGO vya Kimataifa hivyo kuna maeneo ya kuweka camera kwa angles zinazotakiwa!
.
Shida ya hivyo viwanja vya Mikoani havijajengwa kwa ajili ya kuruhusu Production ya Mpira hivyo kuna maeneo ni risk kuweka camera!
.
Hivi unawezi ukaweka camera katikati ya mashabiki wenye wazimu wa soka maana yake hata wakisimama kushangilia huwezi kupata tukio!.
.
Nikiri kwamba Kumekuwa na juhudi kubwa sana kati ya Azam Media na TFF za kufanya maboresho ili hivi viwanja vikidhi mahitaji ya Production.
.
Unatambua kwa sasa viwanja vingi camera zinawekwa juu ya mabati ambayo sehemu kubwa yameoza.
.
Ila Nadhani Azam Media Limited haifurahii ukosoaji wowote inaopewa na ndiyo maana imekuwa ikifanya maboresho ya mara kwa mara.
.
Msisubiri kukosoa tu inapofanya vizuri inabidi mpongeze na kuthibitisha ubora wa Azam Media Limited production zote za CAF na FIFA wanafanya wao na kusambazwa Duniani kwenye Channels nyingine.
 
Hata uwanja wa taifa ni yaleyale tu umeshahau kuna mechi mtu kajirusha kamera zikaonyesha kama amesukumwa na Kapombe na mchezaji akawa analalamika mwanzoni kabla mashabiki hawajonyesha video waliochukua tukio vizuri ndiyo akakiri kudanganya
 
Duuh umejibu kwa niaba ya azam? hongera sana sana
 
Kwema Wakuu,

Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi vyenu automatically tunakua tumeingia makubaliano (implied contract ) kua mtatuonyesha mpira katika ubora wake.

Goli lililofungwa baada ya Kona ya Shomari Kapombe lilikataliwa kwa madai kua Mpira huo ulizungukia kwanza nje (curve) kabla kisha ukarudi ndani. Mpaka mpira unaisha Azam wameshindwa kuonyesha hiyo "Curve". Hata Watangazaji wenyewe wamebaki na kigugumizi maana hakuna Video kuthibitisha mpira uli curve nje ya mstari.

Solution hapa ilikua ni kuwepo kamera kwenye kila kona (kibendera) lakini kwa ubahili wa Azam wameshindwa kuweka. Ina maana Simba jana wangeweza kusema Refa aliwahujumu kumbe maamuzi ya Refa yalikua sahihi.

Au tuseme ingekua ndio Coastal Union wamefunga lile goli likakataliwa ingeweza kudhaniwa Simba anabebwa. Hii yote ni sababu Azam wameshindwa kuweka Kamera za kutosha Uwanjani.

Nawaza ni kiasi gani tunalipia ving'amuzi ambavyo kila kukicha vinapanda bei, na Kamera ni kiasi gani kwa kampuni kama Azam kushindwa kuweka kila pembe ya uwanja. Hii si sawa, na ni unyonyaji mkubwa tunafanyiwa.
Azam sio assistance refaree yeye hausiki na maamuzi ya mchezo mkuu
 
Mkuu, nami naungana na wewe! Hata kingekuwepo kipande cha clip kionyeshacho huo mpira, kama ulitoka au lah, bado isingemsaidia refarii, kwani asingetumia kujiridhisha, kama wenzetu watumiao VAR!
 
Wewe ukitumia akili kidogo hutoona kama kutokuwepo Kwa kamera ya kwenye kona kuna athiri matokeo uwanjani. Lakini ukitumia akili kubwa utaelewa kua kutokuwepo kwa kamera hiyo kuna mfanya hata Kibendera kutokua makini sababu anajua hakuna watakapofanya reference wakati wa match assessment kama alikosea au lah.

Sasa hutumii akili kubwa katika kufikiri hili ni kwa sababu umeamua tu kutoitumia au huna hiyo akili kubwa hapo kwa kweli nikiri wazi Mimi sifahamu.
 
Mkuu, nami naungana na wewe! Hata kingekuwepo kipande cha clip kionyeshacho huo mpira, kama ulitoka au lah, bado isingemsaidia refarii, kwani asingetumia kujiridhisha, kama wenzetu watumiao VAR!
Hapa analaumiwa Kibendera. Sasa Kibendera akijua kua nyuma yake kuna kamera basi atakua makini wakati wa kona kuhakikisha maamuzi yake yanakua sahihi.

Akikosea haitabadilisha maamuzi ya mechi hiyo Lakini since baadae kwenye match assessment ataonekana amekosea na kuadhibiwa basi angalau wanaofuata, watakua makini.
 
Niliwahi kuleta uzi humu kulalamikia jinsi azam wanavyoshindwa kuchambua matukio yenye utata kwakutumia replay zao, lakini niliishiwa kukejeliwa na mashabiki wa Simba kuwa nateseka.
Mkuu Uzi Wako Unaitwaje nikausome?
 
TFF sijui kama walizingatia katika mkataba kuhusu ubora wa picha, pamoja na idadi za kamera za kuwepo uwanjani.

Kama kwa mkapa tu, bado wanapata shida, sijui huko mikoani inakuwaje.

Tatizo pia hakuna miundombinu ya mahali pa kufunga kamera, hiyo sio gharama ya Azam bali mamlaka za viwanja au TFF...

Mfano kuna viwanja kama Kaitaba, wapiga picha inabidi wakae juu ya bati, tena bati lile kama la nyumbani linalong'aa kama shilingi...
 
Na lupaso pia hamna hiyo miundombinu?
 
Azam wanaboa Sana , unakuta Kila replay ya tukio lolote lazima waweke slow motion.

Sijui Nani kawakalolisha kila Replay ya tukio Fulani ni lazima liwe in Slow Motion.

Huwa nakeleka Sana ni Basi tunakosa kampuni nyingine.

Halafu hao TFF kwanini wasifanye Kama Uingereza ? Ambapo katika ligi kuu ya uingereza Kampuni za television zimegawana Mechi na Sio kampuni moja kupewa mechi zote za ligi.

Pale Uingereza Early Kick off zote ( Mechi za mapema ) amepewa BT sports na zile Late Kick off kapewa Sky Sports.

Na Bongo ingebidi kuwa hivyo Labda mechi za Saa 8 Kuna kuwa na kampuni nyingine, mechi za Saa 10 jioni kampuni nyingine na zile za Saa 2 Kuna kampuni nyingine. Au hata Kama kampuni inakuwa ni moja lakini iwe imepitia kwenye tenda na amewashinda wengine, hii ingeongeza ushindani Sana.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sasa hapa Kwetu ziko wapi kampuni za kushindana na Zam tv?
 
Kwani ile gemu Simba si alikuwa kwenye uzi mweupe, hii sio
Hiyo ni gemu nyingine ambayo Chama (sio Kapombe) ndiye aliyepiga kona na baada (sio kabla) ya goli kuingia, utaona ndio kibendera kinainuliwa juu kwa madai hayo hayo ya mpira kutoka nje. Nadhani aliyeweka post ametoa tu tukio linalofanana na hili la juzi
 
Hata uwanja wa taifa ni yaleyale tu umeshahau kuna mechi mtu kajirusha kamera zikaonyesha kama amesukumwa na Kapombe na mchezaji akawa analalamika mwanzoni kabla mashabiki hawajonyesha video waliochukua tukio vizuri ndiyo akakiri kudanganya
Vice versa,kapombe ndo aliyesukumwa na goli likafungwa.Baadaye mchezaji wa Geita gold akakiri alimsukuma.
 
Back
Top Bottom