msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Ila yule jamaa alikuwa hewa kweli maana alikuwa analalamika kabisa mwanzoni kwamba wameonewa mpaka mashabiki walivyoanza kurusha ile clip ndiyo akaomba radhi kwa ummaMalizia pia na alienda kumuomba msamaha Kapombe mara tu baada ya Refa kuliza Kipyenga kua Kapombe amechezewa faulo.