Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

Malizia pia na alienda kumuomba msamaha Kapombe mara tu baada ya Refa kuliza Kipyenga kua Kapombe amechezewa faulo.
Ila yule jamaa alikuwa hewa kweli maana alikuwa analalamika kabisa mwanzoni kwamba wameonewa mpaka mashabiki walivyoanza kurusha ile clip ndiyo akaomba radhi kwa umma
 


Mimi bado nalia na Azam,
Wanashindwa vipi kua na kamera zitakayochukua matukio kama hizi?
 
Hata replay zenyewe htwaga hazipo clear tofauti na wenzetu. Unakuwa unaona replay zikiwa na wenge kama umelewa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…