Kukiri kwa Sabaya Kumeaibisha CCM, Awamu ya 5 na Yeye Mwenyewe

Mpaka unatia aibu.
 
ni Mambo ya kawaida Sana kwenye maisha ya siasa ,hata mbowe alipitia njia hii hii ,ya kukiri na kujishusha ili upepo upite maisha mengine yaendelee.
 
ni Mambo ya kawaida Sana kwenye maisha ya siasa ,hata mbowe alipitia njia hii hii ,ya kukiri na kujishusha ili upepo upite maisha mengine yaendelee.
 
Aibu nyingine ndio hii, CCM kumiliki kundi la vijana wasio jitambua na kuropoka tuu hovyo bila kufikiri
Wewe mwenyewe unamilikiwa na ccm ndo mana humo humu unailalamikia kwenda kinyume na ulivyotarajia ili maisha yako yasonge.
Aibu hipo kwenu na wakuu wenu kumpokea Mama na kwenye Mkutano wa BAWACHA"akawaimbisha chamaaa cha mapinduziiii cha jengaaaa nchiiii".
Baadaye akawambia ccm hoyeee mkasema oyeeeeee. Wakati nyie ni watu Popiziiii power.
 
Aibu kubwa sana kwenye taifa huru kama Tanzania.

Lazima watanzania tuiondoe ccm madarakani maana inawafuga waharifu kama Sabaya na gaidi Hamza
 
Hilo ni zaidi ya zumbukuku na mimi huwa wala sijisumbui kumjibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…