Kukiri kwa Sabaya Kumeaibisha CCM, Awamu ya 5 na Yeye Mwenyewe

Nenda shule bwana Jackson ujiepushe na aibu! Kesi ya kujibu ni hatia?
Babu yangu aliwahi nishauri juu ya arguments za aina hii kuziendekeza kwani people might not notice the difference, bora ninyamaze!
Wachana na zwazwa huyo
 
Ni criminal tu
 
Hata kiswahili hujui wewe MUSHUTI
 
Aibu nyingine ndio hii, CCM kumiliki kundi la vijana wasio jitambua na kuropoka tuu hovyo bila kufikiri
similikiwi na mtu yeyote hapa duniani. Kama wewe unamilikiwa na gaidi mnywa konyagi usidhani ni kila mtu. La muhimu zaidi, una uhakika gani mimi kijana?
 
[emoji706][emoji706]
Siwezi kukujibu nitajiaibisha!
 
Mbona gaidi alikiri kutaka kuua viongozi wetu na kuchoma moto vituo vya kujazia mafuta?
Alikiri uchochoroni? Maana mahakamani kesi ilikuwa inaemdelea kabla DPP hajaamua kuifuta kwa kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.

Sabaya kakiri mbele ya mahakama kutenda jinai kwa utaratibu wa Plea Bargaining.
 
Sukuma gang wote wanajitahidi kumlinda mteule wa mjomba wao lkl hawatafanikiwa
 
Aliombewa msamaha na Zitto?

Mbowe hakuomba msamaha kwahiyo hakuna ushahidi wa madai yako bali maneno ya vijiwe vya kahawa.
 
Aliombewa msamaha na Zitto?

Mbowe hakuomba msamaha kwahiyo hakuna ushahidi wa madai yako bali maneno ya vijiwe vya kahawa.
Wachana na huyo zumbukuku wa uvccm
 
Serikali gani?
Kwamba unataka kuaminisha umma serikali ya CCM haifuati katiba wala sheria iliyojiwekea?

Maana katiba na sheria zipo wazi mtu yeyote aliyepatikana na hatia ya jinai anakosa sifa ya kuajiriwa serikalini kwa nafasi yoyote.
 
Huyu mumeo wasipofungwa na jamhuri atafungwa na MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…