Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Ili uwe mwanasiasa ni lazima uwe na sifa zifuatazo zote ama 2/3 ya hizo sifa;Wewe hujui Siasa uko Chadema kikanda tu
Mbowe aliombewa msamaha na Zitto Kabwe kupitia Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na ndivyo sababu Zitto alitamba kwamba Yeye ndio mtu wa kwanza kujua kwamba Mbowe anaachiliwa kwa Masharti na DPP siku ile
Mbowe ni mkristo hakutaka Kuwa kama wale Wakoma 9 akaamua kwenda Ikulu direct Kumshukuru Rais
Mungu akubariki!
Ni criminalSabaya ni chukizo mbele za MUNGU
Sabaya ni hatariNi criminal
Hafai kwenye jamii na bado anaendelea kuwa kifungoni nyumbani kwake maana hatokuwa huru mbele ya jamiiSabaya ni hatari
Watanzania wengi hawana uelewa kabisa na masuala ya sheria.Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kwamba yeye ni gaidi muuwaji
Ameomba poo mbele ya mahakama unadhani kiubinadamu mahakama ingefanyaje maana ipo sheria ya plea bargain inaipa nguvu mahakama kumwachia mshtakiwa kwa masharti baada ya kutimiza masharti.Kutoka kusema Sabaya ataozea jela hadi ameotia awamu ya 5 aibu?
Uongo hautakusaidia chochote kile , zaidi utaaibika tuWewe unadhani Mbowe hajakiri?
Siasa zina mambo yake acha utoto!
Weka hapo ushahidi , Masikini mkubwa wee !Mbona gaidi alikiri kutaka kuua viongozi wetu na kuchoma moto vituo vya kujazia mafuta?
Mbowe alikiri kwenye mahakama gani bwashe? Mbona unanena uwongo?Wewe unadhani Mbowe hajakiri?
Siasa zina mambo yake acha utoto!
ushahidi wa nini ewe mtukufu tajiri wa JF?Weka hapo ushahidi , Masikini mkubwa wee !
Kwa maelezo hayo alitenda ujambazi.Sabaya amekiri mashitaka mawili peke yake,nayo ni
:
"Imeelezwa kuwa Lengai Ole Sabaya na wenzake, Januari 19, 2021 katika eneo la Masama Mbosho wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, bila kibali walivamia duka la Alex Evarest SwaI na kuchukua mali na kuzizuia na kujipatia kaisi cha fedha shilingi milioni 50.
Kosa la pili ni kuzuia upatikanaji wa haki ambapo Januari 19, 2021 katika maeneo tofautitofauti katika Wilaya ya Hai na Tulia jijini Arusha na maeneo tofauti ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, walikula njama za kumfanya Alex Swai kuwa ametenda kosa la kukwepa kodi."
Yale mashitaka saba mliyoyapanga na Mkwe wenu DPP Kweka,yote ameyashinda kwenye ile rufaa yake.
Haya ni mashitaka yaliyogeuzwa kuwa plea bargain,kwa sabavu sio uongo kwamba yule Swai hakuwa mkwepa kodi pale Bomangombe.
Mbona wezi wa kuku hawatoki kwa plea bagain?Ameomba poo mbele ya mahakama unadhani kiubinadamu mahakama ingefanyaje maana ipo sheria ya plea bargain inaipa nguvu mahakama kumwachia mshtakiwa kwa masharti baada ya kutimiza masharti.
Huyo mwizi wa kuku kwani ana akili ya kujua kwamba kuna njia nyingine ya kuchomoka kupitia plea bargain?Mbona wezi wa kuku hawatoki kwa plea bagain?
Hiyo ipo kwa ajili ya wanasiasa katika kuramba asali ili kuwahadaa wapumbavu wa nchi hii!
Kwamba wezi wa kuku wote na wenye makosa ya aina hiyo wote nchi hii hawana akili za kuweka mawakili?Huyo mwizi wa kuku kwani ana akili ya kujua kwamba kuna njia nyingine ya kuchomoka kupitia plea bargain?
Yeye hana wakili anasimama mwenyewe kwahiyo obviously lazima alambwe mvua.
Sasa wanasiasa na watu wenye uwezo wa kuweka mawakili wasomi wanajua njia mbalimbali za kuchomoka kwenye kesi.
Kwamba uibe kuku wa buku 10 uweke wakili kwa milioni kadhaa?Kwamba wezi wa kuku wote na wenye makosa ya aina hiyo wote nchi hii hawana akili za kuweka mawakili?
Wewe unadhani DPP huwa anaamua tu kutoendelea na kesi?🤩🤩🤩Uongo hautakusaidia chochote kile , zaidi utaaibika tu
Pumbavu leta ushahidiWewe unadhani Mbowe hajakiri?
Siasa zina mambo yake acha utoto!
Acha ujingaMbona gaidi alikiri kutaka kuua viongozi wetu na kuchoma moto vituo vya kujazia mafuta?