Kukiri kwa Sabaya Kumeaibisha CCM, Awamu ya 5 na Yeye Mwenyewe

Huyo ni criminal mzoefu
 
Gaidi kengeza a.k.a mbowe alikiri pia kushiriki mapenzi ya jinsia moja kama mfadhili pia wa ugaidi na vielelezo vipo mpaka leo.
 
Kwa hiyo wezi wakubwa wanaonufaika na hiyo sheria yw olea bagain ni wanasiasa tu?
 
Mbona gaidi alikiri kutaka kuua viongozi wetu na kuchoma moto vituo vya kujazia mafuta?
Wengine tulikwenda mahakamani Kila siku ya kesi ya Mbowe. Huu upuuzi kawahadithie wapuuzi wenzio.
 
Kifupi Tanzania hatuna taasisi imara, ni takataka tu zinakula mishahara
 
Kwenye plea bargaining ni wengi tu wamekiri ili kurudi home,jela siyo kuzuri.......kwani hata kama umefanya au hujafanya ila unaona option ya kujiokoa mapema why usifanye hivyo? Ni Rugemalira pekee ndiyo aliamua kufa na tai shingoni
 
Kwa maana yako hii unamaanisha kuwa Sabaya ni msafi kabisa hajawahi kufanya aliyokuwa anashitakiwa nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…