Kukomaa kisiasa: Pamoja na fitina na ubaya wote aliotendewa na Ole Sabaya, Mwenyekiti Mbowe ametulia kimya

Kuna post yako moja ulimuona Sabaya kama hana hatia ..huku umetaja maovu yake! Je kuna shida upstairs nikupe ushauri wa kitaalam?
 
Aliyesema nae atapeleka mashitaka yake juu ya sabaya ni pacha wake mbowe au mi yeye?? Hawezi acha huu upepo upite bila kuutumia.. mzee wa fursa
 
MUNGU ambaye anajua kesho aliona namna nchi ingekuwa endapo magufuli angeendelea kuwa hai..... asante Sana MUNGU Kwa kuipenda Tanzania
Amina [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mbona kawahi kuingia mara nyingi tu
kwa kesi hizo au zipi. maana kaingia na kutoka mapema.
as a record kesi kama hizo mtu hufungwa miaka mingi sana. yeye kachomokaje mapema.
na nyingi alikuwa anashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…