Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyesema nae atapeleka mashitaka yake juu ya sabaya ni pacha wake mbowe au mi yeye?? Hawezi acha huu upepo upite bila kuutumia.. mzee wa fursaBinafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.
Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu.
Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na ukristo wake Freeman amekomaa sana kisiasa!
joined January 2021Mbowe ni zaidi ya jambazi
Amina [emoji1545][emoji1545][emoji1545]MUNGU ambaye anajua kesho aliona namna nchi ingekuwa endapo magufuli angeendelea kuwa hai..... asante Sana MUNGU Kwa kuipenda Tanzania
Sio hoja,huenda yumo kabla yakojoined January 2021
Mbona kawahi kuingia mara nyingi tumbona hayupo gerezani?
kwa kesi hizo au zipi. maana kaingia na kutoka mapema.Mbona kawahi kuingia mara nyingi tu