Kuna nchi, if not kenye, walifanyaga hivyoLet us try to make impossible to be possible ila sina uhakika kama itadumu muda
Haipingwi hio ila kavurugu kutakuwepo kidogoHata mbadilishe utaratibu CCM ndio inaenda kuunda serikali 2025
Yaani mnakamata watu wamo ndani ya gari ya umma Wana masanduku ya kura fake, wakilindwa na police,Nani mwenye kuwanyonga?
True, ila ukija unamkuta wakala wa mgombea unaenda nyuma yake unapewa balot paper unajaza , unatumbukiza kwenye box lake , unaondoka au unakaa mita zitakazo kubaliwaNi ngumu kuwakusanya watu wote wakati mmoja. Ila Nape buana..
Kura inapaswa kuwa siri....hivyo kutaharibu maana ya kuraKila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
inafaa hii yaan kila wakala wa chama au mgombea awe na sanduku lake la kura.Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
Atleast kuharibu kwa njia hii kuliko kuharibu kwa wiziKura inapaswa kuwa siri....hivyo kutaharibu maana ya kura
True, ila ukija unamkuta wakala wa mgombea unaenda nyuma yake unapewa balot paper unajaza , unatumbukiza kwenye box lake , unaondoka au unakaa mita zitakazo kubaliwa
Yaani wapiga kura wanaondoka na majibu kwa siku husika π€π€Njia ya kuzuia wizi wa kura ni kura kupigiwa nje kwenye mahema wasimamizi wa kura wakiwa wamezungukwa na watu na kura zote kutangazwa hapo hapo kituoni.
huondoki, unakaa pale pale na mgombea atakuwa na watu wake wa kulinda kuraHiyo Nape anaiba aisee. Ukishaondoka tu π π π π
Wenye maamuzi ya kubadili mfumo wa upigaji ni hao hao wanaonufaika na mfumo uliopo.hiyo tunakubaliana tunaiweka kando
Au labda ifanyike hivyo kwa raia kupiga kura kwa mwenyekiti wa mtaa na kijiji tu halafu wao wenyeviti nao wakajipange hivyo kuchagua diwani na madiwani wakajipange hivyo kuchagua mbunge na wabunge wakajipange hivyo kuchagua Rais.Hiyo itawezakana kwa mwenyekiti wa mtaa na kijiji tu mkuu.
uko sahihiWenye maamuzi ya kubadili mfumo wa upigaji ni hao hao wanaonufaika na mfumo uliopo.
Sidhani kama watakubali kutumia kisu wanachokatia minofu kukitumia kujikata.
South Africa Wana utaratibu wa kidemokrasia wa namna hiyo., Kura zote zinapigwa hadharani na pia zinahesabiwa hadharani mbele ya Watu wote wakiwa wanaona kwa macho yao wenyewe, huku Waandishi wa Habari wakiwa wanarekodi video mubashara kabisa.Njia ya kuzuia wizi wa kura ni kura kupigiwa nje kwenye mahema wasimamizi wa kura wakiwa wamezungukwa na watu na kura zote kutangazwa hapo hapo kituoni.
Ndivyo inatakiwa, mkishawaachia watu wachache wanaoitwa mawakala wasimamie kura zenu huku nyie mmelala usingizi fofo ili mje kukutana na matokeo kesho asubuhi kupigiwa inakuwa rahisi sana.Yaani wapiga kura wanaondoka na majibu kwa siku husika π€π€
siyo wazo baya! linaweza kufanyiwa kazi. Maana kwa mwenyekiti wa mtaa mnafahamiana wote na ni wachacheAu labda ifanyike hivyo kwa raia kupiga kura kwa mwenyekiti wa mtaa na kijiji tu halafu wao wenyeviti nao wakajipange hivyo kuchagua diwani na madiwani wakajipange hivyo kuchagua mbunge na wabunge wakajipange hivyo kuchagua Rais.