Kukomesha wizi wa kura wa NAPE, kwanini tusipige kura kwa utaratibu wa kujipanga nyuma ya mgombea

Kukomesha wizi wa kura wa NAPE, kwanini tusipige kura kwa utaratibu wa kujipanga nyuma ya mgombea

Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?
Kura inapaswa kuwa siri....hivyo kutaharibu maana ya kura
 
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?
inafaa hii yaan kila wakala wa chama au mgombea awe na sanduku lake la kura.
 
Hiyo itawezakana kwa mwenyekiti wa mtaa na kijiji tu mkuu.
Au labda ifanyike hivyo kwa raia kupiga kura kwa mwenyekiti wa mtaa na kijiji tu halafu wao wenyeviti nao wakajipange hivyo kuchagua diwani na madiwani wakajipange hivyo kuchagua mbunge na wabunge wakajipange hivyo kuchagua Rais.
 
Njia ya kuzuia wizi wa kura ni kura kupigiwa nje kwenye mahema wasimamizi wa kura wakiwa wamezungukwa na watu na kura zote kutangazwa hapo hapo kituoni.
South Africa Wana utaratibu wa kidemokrasia wa namna hiyo., Kura zote zinapigwa hadharani na pia zinahesabiwa hadharani mbele ya Watu wote wakiwa wanaona kwa macho yao wenyewe, huku Waandishi wa Habari wakiwa wanarekodi video mubashara kabisa.

Hii imesaidia kwa kiasi kikubwa Sana kukomesha kabisa vitendo viovu vya wizi wa Kura pamoja na kupunguza malalamiko kutoka kwa Wananchi juu ya wizi Kura kwenye Uchaguzi.
 
Au labda ifanyike hivyo kwa raia kupiga kura kwa mwenyekiti wa mtaa na kijiji tu halafu wao wenyeviti nao wakajipange hivyo kuchagua diwani na madiwani wakajipange hivyo kuchagua mbunge na wabunge wakajipange hivyo kuchagua Rais.
siyo wazo baya! linaweza kufanyiwa kazi. Maana kwa mwenyekiti wa mtaa mnafahamiana wote na ni wachache
 
Back
Top Bottom