Kukomesha wizi wa kura wa NAPE, kwanini tusipige kura kwa utaratibu wa kujipanga nyuma ya mgombea

Nape ametia aibu sana!
 
Hivi kweli utaratibu huu nani aliuondoa?? Kwanza inaserve muda.
 
Nani ana supply voters registration Equipments?

Softwares za biometric voters registers nani ame design? Softwares zina contents gani?

Nani ana print ballot papers?Idadi?..

Nani anasimamia uchaguzi?

Nani anafanya majumuisho ya kura zilizopigwa?
 
wazo zuri sana na linatekelezeka isipokuwa aibu tu kwa sisi tuliopokea khanga na kofia maana undumilakuwili, tutaumbuka. tatizo ni kuwaamini hao uliowaita 'wawakilishi' maana hadi kufunga kituo bado matokeo yataandikwa kwa mtindo wa namba na kutakuwa na namna tu.

Achebe Chinua, "Man had learnt to shoot without missing and I had learnt to fly without perching my twigs"

'hakuna mkate/biskuti ngumu mbele ya chai'

tata rutashobya agambile oti "clever hunters usually trap hynas with a good chunk of meat"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…