Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe waema lakini Kenya wamewahi kufanyaAthari za Gen z wa bongo kuchangia mawaz kwenye nchi yao😂😂😂
Rais wa Africa Kusini anachaguliwa na wabunge na raia huwa hawana malalamiko kabisa katika uchaguzi wao.siyo wazo baya! linaweza kufanyiwa kazi. Maana kwa mwenyekiti wa mtaa mnafahamiana wote na ni wachache
Nape ametia aibu sana!Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
Kwa sababu ukiwepo ,,,uwezekano wa kutoka madarakani ni 💯💯?🤣🤣🤣Wana ccm hatutaki hii 😹
Tunataka "piga kura kwa siri rudi nyumbani" matokeo mtuachie sisi 😁Kwa sababu ukiwepo ,,,uwezekano wa kutoka madarakani ni 💯💯?🤣🤣🤣
Hii fursa sijui nilikuwa wapi kuiona 🤣🤣🤣daah ndio njia ya kutupiga na vitu vizito A.K.A WIZI MZITOTunataka "piga kura kwa siri rudi nyumbani" matokeo mtuachie sisi 😁
Wana ccm hatutaki hii 😹
Kwa sababu ukiwepo ,,,uwezekano wa kutoka madarakani ni 💯💯?🤣🤣🤣
Hii ndio fursa iliyompatia u-Naibu Spika Tulia Ackson Mwansasu kwenye Ile Kesi maarufu ijulikanayo Sana kwa Jina la "Kesi ya Mita 200."Tunataka "piga kura kwa siri rudi nyumbani" matokeo mtuachie sisi 😁
Hivi kweli utaratibu huu nani aliuondoa?? Kwanza inaserve muda.Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
Wana ccm tunataka mita 200 na si vinginevyo.Hii ndio fursa iliyompatia u-Naibu Spika Tulia Ackson Mwansasu kwenye Ile Kesi maarufu ijulikanayo Sana kwa Jina la "Kesi ya Mita 200."
Mtu si anakuja anakuta Bango kubwa anasimama nyuma ya bango anahesabiwa anaondoka anakaguliwa kadi ya mpiga kura anaondoka.Ni ngumu kuwakusanya watu wote wakati mmoja. Ila Nape buana..
'Itafutwe namna mbadala. Hao wamekubuhu hawana wanaloogopaMtu si anakuja anakuta Bango kubwa anasimama nyuma ya bango anahesabiwa anaondoka anakaguliwa kadi ya mpiga kura anaondoka.
Siri kwa nani hapo ndiyo wizi huanzia.Kura inapaswa kuwa siri....hivyo kutaharibu maana ya kura
Absolutely true.Siri kwa nani hapo ndiyo wizi huanzia.
Kwani neno "siri" ni sheria isiyowezwa kubadilishwa kadiri ya matakwa ya wakati husika?Kura ni siri kati ya mpiga kura na mpigiaji kura.
Kwasasa Bora ziwe za wazi tu! Mbona bungeni hupiga kura za wazi? Tena nyingine kwa sauti ya ndioooooo!Kura ni siri kati ya mpiga kura na mpigiaji kura.