๐๐๐๐Ruta umeuaHapana ni dhana tu mkuu
Mi mwenyewe mpenzi wangu alikua anajamba sana..mwanzoni akawa anaogopa. Nikaja kumtoa wasi.
Tena alikua akitaka kujamba namuambia anitegeshee puani.
Ushuzi kunusa ni healthy, wa mwanamke.
KudadekiHapana ni dhana tu mkuu
Mi mwenyewe mpenzi wangu alikua anajamba sana..mwanzoni akawa anaogopa. Nikaja kumtoa wasi.
Tena alikua akitaka kujamba namuambia anitegeshee puani.
Ushuzi kunusa ni healthy, wa mwanamke.
Wengi wangeachwaHuyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.
Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.
Sometime naweza msemesha akajibu ila sekunde 30 nyingi anarudia kukoroma. Naombeni mnisaidie kama kuna dawa ya tatizo hili. Sababu otherwise naona itakuwa ngumu mimi kuwa nalala naye.
Maana kiukweli huwa nikishtuka nikakuta anakoroma ndo silali tena. Nakwazika,nakereka mpaka mwisho. Siwezi pata usingizi kabisa.
Je, nifanyeje? Of course ana mwili. sijui kama ni kigezo kuwa ni unene....but mbona nmesha date sana wenye maumbo namba 8 na hawakoromi? Why yeye?
Tutajie mkuu..tukazitafute..Mkuu kukoroma sio issue ya kutaka kumwacha mpenzi wako, nenda pharmacy kuna dawa nyingi za ku remedy tatizo hili, anapulizia kooni kabla ya kulala ,nyingi zinafanya kazi Safi kabisa
Kwanza nimekupa like kwa umri wangu huu wa miaka wa zaidi ya nusu karne umeongea kila kitu naomba huu uzi uishie hapaWanawake wanatuvumilia mengi sana sisi wanaume.
Sisi wanaume tuna matatizo mengi zaidi ya hayo,uchafu,kuvuruga vitu chumbani,kunuka mdogo kutokana na masigara,pombe ugoro,kufungulia miredio usiku,kunuka mapua,vingi sana
Ndugu, kama una mtu mwenye sifa zote ukaamua kumuacha sababu anakoroma kuna jambo unalitafuta. Unaweza kuta kuna jambo juu yako pia analivumilia sababu amekukubali ulivyo.Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.
Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.
Sometime naweza msemesha akajibu ila sekunde 30 nyingi anarudia kukoroma. Naombeni mnisaidie kama kuna dawa ya tatizo hili. Sababu otherwise naona itakuwa ngumu mimi kuwa nalala naye.
Maana kiukweli huwa nikishtuka nikakuta anakoroma ndo silali tena. Nakwazika, nakereka mpaka mwisho. Siwezi pata usingizi kabisa.
Je, nifanyeje? Of course ana mwili. sijui kama ni kigezo kuwa ni unene....but mbona nmesha date sana wenye maumbo namba 8 na hawakoromi? Why yeye?
Hii ndio tibaAfanye mazoezi ya ulimi awe anautoa nje na kuurudisha ndani
Sijamwomba avumilie kama naye yanamshinda aseme tu.Achana nae tu humpendi, likiisha la kukoroma utaona jingine. Binadamu tuna madhaifu. Hata wewe kuna yako unayo utakayekuwa naye atakuvumilia.
Simshauri anivumilie. Kama akiona hivyo njia nyeupe kabisa....Huwezi jua na ww amekuvumilia kiasi gani hakuna aliekamika..huenda naww unashoo mbovu ila kavumilia tu.
Wewe ulinipenda hivyo hivyo ilikuwa sababu ya umaskini wako dada. So hilo usinilaumu mimi. Uliona pesa zangu ni mali mpaka nilipoamua kukuacha sababu ya dhiki zenu na familia yako. Huyo mwanaume wa sasa unamvumilia bado?Mbona wewe unanuka mdomo na kwapa lakini hajalalamika huku?
Umenishangaza tu hapo ulipoandika unafikiria kumuacha. Yaani Mwanamke si Malaya, si Mtumiaji mbaya wa pesa, hujamfumania then unafikiria kumuacha kwasababu tu ya kukoroma?
Hata wewe kuna katabia unako ila anakuvumilia.
Mara nyingi kukoroma kunasababishwa na kuwa na nyama za puani hata kama ni mwembamba, kulala vibaya? Upumuaji wa shida, Unene uliopitiliza n.k
Pole sana mvumilie na uzoee.