Kukoroma Dawa yake nini? Nafikiria kumuacha mchumba wangu sababu hii

Kukoroma Dawa yake nini? Nafikiria kumuacha mchumba wangu sababu hii

Hapana ni dhana tu mkuu
Mi mwenyewe mpenzi wangu alikua anajamba sana..mwanzoni akawa anaogopa. Nikaja kumtoa wasi.
Tena alikua akitaka kujamba namuambia anitegeshee puani.
Ushuzi kunusa ni healthy, wa mwanamke.
😂😂😂😂Ruta umeua
 
Fanya unavyoweza uwe unaanza kulala wewe.
 
Kwamba umeshalala na mademu kibao wenye mwili kama wake (vibonge) na hukukutana na mkoromaji, ila yeye tu!?

Acha uzinzi kijana tabia ya kubadili wanawake kama nguo mwisho wake huwa sio mzuri. Kumbuka si kila mwanamke ni wa kuzini naye, tulia na mkeo na kama atakoroma usiku fungulia muziki mnene kufunika mkoromo.
 
Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.

Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.

Sometime naweza msemesha akajibu ila sekunde 30 nyingi anarudia kukoroma. Naombeni mnisaidie kama kuna dawa ya tatizo hili. Sababu otherwise naona itakuwa ngumu mimi kuwa nalala naye.

Maana kiukweli huwa nikishtuka nikakuta anakoroma ndo silali tena. Nakwazika,nakereka mpaka mwisho. Siwezi pata usingizi kabisa.

Je, nifanyeje? Of course ana mwili. sijui kama ni kigezo kuwa ni unene....but mbona nmesha date sana wenye maumbo namba 8 na hawakoromi? Why yeye?
Wengi wangeachwa
 
Wanawake wanatuvumilia mengi sana sisi wanaume.

Sisi wanaume tuna matatizo mengi zaidi ya hayo,uchafu,kuvuruga vitu chumbani,kunuka mdogo kutokana na masigara,pombe ugoro,kufungulia miredio usiku,kunuka mapua,vingi sana
Kwanza nimekupa like kwa umri wangu huu wa miaka wa zaidi ya nusu karne umeongea kila kitu naomba huu uzi uishie hapa
 
Mbona wewe unanuka mdomo na kwapa lakini hajalalamika huku?

Umenishangaza tu hapo ulipoandika unafikiria kumuacha. Yaani Mwanamke si Malaya, si Mtumiaji mbaya wa pesa, hujamfumania then unafikiria kumuacha kwasababu tu ya kukoroma?

Hata wewe kuna katabia unako ila anakuvumilia.

Mara nyingi kukoroma kunasababishwa na kuwa na nyama za puani hata kama ni mwembamba, kulala vibaya? Upumuaji wa shida, Unene uliopitiliza n.k

Pole sana mvumilie na uzoee.
 
Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.

Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.

Sometime naweza msemesha akajibu ila sekunde 30 nyingi anarudia kukoroma. Naombeni mnisaidie kama kuna dawa ya tatizo hili. Sababu otherwise naona itakuwa ngumu mimi kuwa nalala naye.

Maana kiukweli huwa nikishtuka nikakuta anakoroma ndo silali tena. Nakwazika, nakereka mpaka mwisho. Siwezi pata usingizi kabisa.

Je, nifanyeje? Of course ana mwili. sijui kama ni kigezo kuwa ni unene....but mbona nmesha date sana wenye maumbo namba 8 na hawakoromi? Why yeye?
Ndugu, kama una mtu mwenye sifa zote ukaamua kumuacha sababu anakoroma kuna jambo unalitafuta. Unaweza kuta kuna jambo juu yako pia analivumilia sababu amekukubali ulivyo.

Kukoroma si kitu kizuri lakini si jambo la kumwacha mtu
 
Afanye mazoezi ya ulimi awe anautoa nje na kuurudisha ndani
Hii ndio tiba

Mleta mada kama unataka apone tumia hii njia , nilitaka niandike Ila baada ya kuona hii comment nimeona nikazie Tu.

Unatoa ulimi nje Hadi mwisho ukiwa umefungua mdomo Hadi mwisho halafu Rudisha ulimi ndani tena. Fanya kama mara 30 kutwa mara 3-5.

Sio zoezi jepesi Ila ni tiba ya kudumu.
 
Achana nae tu humpendi, likiisha la kukoroma utaona jingine. Binadamu tuna madhaifu. Hata wewe kuna yako unayo utakayekuwa naye atakuvumilia.
Sijamwomba avumilie kama naye yanamshinda aseme tu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mbona wewe unanuka mdomo na kwapa lakini hajalalamika huku?

Umenishangaza tu hapo ulipoandika unafikiria kumuacha. Yaani Mwanamke si Malaya, si Mtumiaji mbaya wa pesa, hujamfumania then unafikiria kumuacha kwasababu tu ya kukoroma?

Hata wewe kuna katabia unako ila anakuvumilia.

Mara nyingi kukoroma kunasababishwa na kuwa na nyama za puani hata kama ni mwembamba, kulala vibaya? Upumuaji wa shida, Unene uliopitiliza n.k

Pole sana mvumilie na uzoee.
Wewe ulinipenda hivyo hivyo ilikuwa sababu ya umaskini wako dada. So hilo usinilaumu mimi. Uliona pesa zangu ni mali mpaka nilipoamua kukuacha sababu ya dhiki zenu na familia yako. Huyo mwanaume wa sasa unamvumilia bado?
 
Duuh! Hatukatazi kufanya ulichokiamua ila usisahau binadamu hatujakamilika.

Ikibidi tafuta namna ya kumsaidia huenda ana tatizo.
 
Back
Top Bottom