keshokutwa
Member
- Oct 14, 2014
- 66
- 17
Omba kazi ya ulinzi usiku mkuu,ndo dawa yake..
Mara nyingi husababishwa na kuchoka sana au kufanya kazi ngumu basi ukishachoka hapo utapiga usingizi wa millioni 3 na kukoroma..... pole sana ila dawa yake siijui looo wanakuja
jibu ni jibu asante mkuu kwa wazo zuri
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyumaGuys nini dawa ya kuacha kukoroma??plz nisaidiwe kwa hilo..
Hii point nimeipenda sana!!!!Uende pia hospitali ukacheki moyo, unaweza kuwa na tatizo. Otherwise, kama unakunywa pombe hebu jaribu kuacha uone utakavyolala kama mtoto mchanga.
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma
na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu. Tumia hiyo dawa yangu kisha uje hapa utupe feedback Mkuu.@kwavi
Jaribu tena kwa muda wa siku 21 mnfululizo utakuwa umekwisha kutibu maradhi yako. Mkuu kwaviHii,nimefanya zoezi rafiki,nimewauliza nnaolala nao,majibu yalikua hivi
.umepunguza kukoroma
.haukoromi kila siku kama ilivokua awali
.bado unakoroma kama zaman..
Daah siipend hal hii..ushauri zaid plz
Mkuu Mawenzi mbona hujanipa Mrejesho?Nami nitakupa mrejesho
Dah!, mkuu ukitaka usikorome bora usilale