Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Mkuu hua naambiwa nakoroma sana, dawa yake nikawa nawaacha waingie kulala then ndo na mimi nawasha jenereta ya kukoroma

Hahahaha...jenereta la kukoroma, ni hivi mkuu nilijaribu kutafiti na kugundua kuwa watu wanene(mabonge) wengi ndio wanakoroma haswa kuliko slim guys,

Niliambiwa sababu kubwa ni kupumua kwa shida kutokana na kuwa na mafuta mengi mwilini,pamoja na uzito.Ndio maana hata mtu mwembamba sometimes akijikunja na kujinyima pumzi wakt wa kulala atakoroma tuu. Wataalam watafafanua zaidi.
 
ndugu bwana Jf, siku za nyumba nilikuwa sina tabia ya kukoroma nikiwa usingizini.
siku za hivi karibuni nime develop Tabia ya kukoroma nikiwa usingizini hadi Mimi mwenye some times najishtukia.
Hili tatizo linasababishwa na nini, je inaweza kuwa kuongezaka kilo(kunenepa) au ni ugonjwa?
majuz nimepima uzito na kujikuta nimeongezeka kilo 4.from 74 kgs to 78kgs.umri Wangu ni 34 yrs.

Sababu ya kukoroma na jinsi ya kuzuia hali hiyo

Kukoroma ni tatizo linalowapata watu wengi wakati wanapolala ambalo linaweza kuwatokea watu wa kila umri ingawa hutokea mara nyingi kwa wanaume au watu wanene. Kukoroma huzidi kwa kadri umri unavyoongezeka na asilimia 54 ya watu wazima hukoroma baadhi ya wakati huku asilimia 25 ya wengine wakiwa na tabia ya

kukoroma kila wakati. Kukoroma baadhi ya wakati kwa kawaida sio tatizo kubwa na mara nyingi huleta tu karaha kwa mtu anayelala karibu na mkoromaji. Hata hivyo kukoroma huko sio tu kwamba huharibu usingizi wa anayekoroma bali pia huwasumbua na kuwakeresha wanaolala karibu na mkoromaji. Wale wenye tabia ya

kukoroma, hukoroma kila wanapolala na mara nyingi huchoka wanapoamka, na watu wa aina hii hushauriwa kumuona daktari na kushauriwa kuhusiana na tatizo hilo. Lakini kabla hatujaendela mbele ni bora tujue kukoroma hasa ni nini au hutokea vipi?

Mtu huwa anakoroma pale kunapokuwa na kitu au sababu yoyote itakayoziba kuingia au kutoka kwa hewa mdomoni na katika pua. Kuta za koo hutikisika wakati wa kupumua na matokeo yake ni sauti inayosikika ya kukoroma. Kuingia au kutoka kwa hewa huweza kuzuiwa na sababu mbalimbali kama vile:

• Kuziba tundu za pua kusiko kamili ambako husababisha nguvu zaidi zitumike katika kupitisha hewa kwenye pua wakati mtu akiwa amelala. Kitendo hicho hupelekea nyama laini za pua na koo zijikusanye na kusababisha mkoromo. Kuna baadhi ya watu wanakoroma tu kipindi cha allergy (allergy season) au wanapatwa na matatizo ya sinus. Baadhi ya matatizo kama vile kupinda pua (deviated septum) au ukuta unaotenganisha tundu za pua na polyps za pua pia huweza kufanya pua zizibe na kusababisha kukoroma. Watu wengi wanaofanya operesheni za pua pia hupatwa na tatizo la kukoroma.

• Kuwa na misuli dhaifu katika koo na ulimi. Misuli au nyama za koo na ulimi zinapokuwa dhaifu sana hulegea na kuanguka upande wa nyuma wa sehemu inayopita hewa. Suala hilo hutokea pale mtu anapolala fofofo au kuwa na usingizi mzito na kusababisha kukoroma.

• Kuwa na misuli minene ya koo. Hii ni kwa wale watu wanene ambao hata nyama zao za koo pia hunenepa na kupanuka na suala hilo husababisha kukoroma, Pia watoto wenye tonsesi kubwa na adenoids baadhi ya wakati hukoroma.

• Kuwa na kilimi kikubwa ni mojawapo ya sababu zinazosababisha kukoroma. Kilimi kirefu kinaweza kuzuia koo na pale kinapotikisika wakati hewa inapita kwa msukumo husababisha kukoroma.

• Sababu nyinginezo zinazoweza kumsababishia mtu akorome anapolala ni kuwa na umri mkubwa au uzee, imeshuhudiwa kuwa watu wa makamo na wazee hukoroma, kwani misuli na nyama za koo huanza kuzeeka na kulegea kadri umri unayoongezeka. Vilevile wanaume wanakoroma zaidi kuliko wanawake hii ni kutokana na

wanaume kuwa na njia nyembamba zaidi ya hewa kuliko wanawake. Kukoroma pia kunaweza kuwa ni tatizo la kurithi. Pombe, kuvuta sigara na matumizi ya baadhi ya dawa pia husababisha misuli ya koo ilegee na hivyo hupelekea mtu akorome. Kulala vibaya pia husababisha kukoroka kama vile kulala kichalichali, kwani hufanya nyama za koo zilegee na kuziba hewa.

Je, Dawa ya kukoroma ni nini?

Swali hilo limeuliwa sana na mimi katika kulijibu ningependa kusema kuwa, kujua sababu inayosababisha mtu akorome na kuitatua au kuiondoa sababu hiyo ndiko kunakotibu kukoroma. Sote tunajua adha inayotokana na kukoroma, na sauti hiyo inavyosumbua hasa iwapo anayekoroma ni mtu wako wa karibu kama vile mumeo,

mwenzi wako au yoyote yule inayekubidi ulale naye karibu au katika kitanda kimojana hata chumba kimoja. Kukoroma pia huathiri usingizi wa mkoromaji kwani anayekoroka humbidi aamke mara kadhaa usingizini akijua au bila kujua kutokana njia zake za hewa kufunga kwa sekunde kadhaa ambapo usingizi pia hukatika. Wanaokoroma

pia hushindwa kulala vizuri suala linalopelekea asubuhi wawe wamechoka na kutofanya majukumu yao vyema, na pia wale wanaolala nao karibu hupatwa na matatizo kama hayo. Vilevile tunapaswa kujua kuwa kukoroma kuna athari za kiafya za muda mrefu kwa mtu anayekoroma hivyo si jambo la kufanyia mzaha na ni tatizo ambalo linapaswa kushughulikiwa na kutatuliwa.

Wataalamu wanatuambia kuwa ili kujua kukoroma kwako kunasababishwa na nini ni bora ushirikiane na mwenzi wako au yoyote unayelala naye ili akuchunguze pale unapolala na kujua jinsi mwili wako unavyokuwa pale unapokoroma. Ni bora aandae orodha na kuchunguza yafuatayo:

1. Kufunga mdomo na kukoroma kunaonyesha kuwa kuna matatizo ya ulimi.
2. Kufungua mdomo na kukoroma kunaonyesha unaweza kuwa na tatizo katika misuli au nyama za koo.
3. Kukoroma unapolala kichalichali kunaonyesha kuwa pengine kwa kubadilisha namna unavyolala kukoroma nako kunaweza kwisha.
4. Kukoroma wakati unapolala kwa kila mlalo kunaonyesha kwamba tatizo lako ni kubwa na pengine kunahitajia tiba kubwa zaidi.

Iwapo umebadilisha namna unavyolala na haikusaidia, unashauriwa ujaribu yafuatayo:

 Punguza uzito

 Safisha njia yako ya hewa. Kuwa na pua iliyoziba hufanya kupumua kuwe kugumu na kusababisha kukoroma. Unaweza kufanya hivyo kwa kutumia dawa za kusaidia kupumua kwa urahisi (nasal decongestants) zinazopatikana kwa urahisi katika maduka ya dawa.

 Wacha kuvuta sigara.

 Lala mapema na pata usingizi wa kutosha kila mara huku ukijiepusha na kuchoka sana. Kunyanyua kichwa kwa nchi 4 huweza kupunguza kasi ya kupumua na kusaidia ulimi na taya kwenda mbele hali ambayo hupunguza kukoroma. Fanya hilo kwa tumia mito maalum ya kupunguza kukoroma au lala bila mto.

Wataalamu pia wanasema kwamba unaweza kupunguza kukoroma kwa kutokula baadhi ya vyakula au dawa kabla ya kulala ambavyo huongeza kukoroma. Vitu hivyo ni kama vile

o Kutokula mlo mkubwa kabla ya kulala.
o Kutokula vyakula vinavyotokana na maziwa au maziwa ya soya.
o Kutokunywa pombe kabla ya kulala.
o Kutotumia dawa aina ya antihistamines.
o Kutotumia vyakula au vinjwaji venye kafeini.

Vilevile wanaokoroma wanashauriwa kufanya mazoezi ya koo ambayo ni pamoja na kuimba, kusoma kwa kurudia rudia voweli (a,e,i,o,u) kwa nguvu kwa dakika tatu mara kadhaa kwa siku, kuweka ncha ya ulimi chini ya meno ya mbele na kurudisha ulimi nyuma kwa dakika 3 kila siku au huku mdomo ukiwa wazi pelekea taya yako upande wa

kulia na wacha ibakie katika hali hiyo kwa sekunde 30. Huku mdomo ukiwa wazi, kaza misuli ya nyuma ya koo na rudia kitendo hicho kwa sekunde thelathini. Unaweza kutizama kwenye kioo na kuona jinsi kilimi kinavyokwenda juu na chini.

Iwapo kukoroma hakutoisha kwa kutumia njia hizo tofauti zilizoelezwa, usife moyo jaribu kumuona daktari na akupe ushauri wa kitiba kuhusiana na tatizo hilo. Madakatari wataalamu wa magonjwa ya pua, masikio na koo au ENT wanaweza kukusaidia zaidi kutatua tatizo hilo. Siku hizi kuna vifaa mbalimbali vinavyotumiwa mahospitalini ili

kuondoa kukoroma kama vile kifaa kinachowekwa kwenye meno, CPAP, kidude kinachowekwa mdomoni au hata kufanyiwa operesheni ili kuondoa tatizo hilo.

Ukiwa na Swalilolote au Tatizo lolote nitafute kwa kubonyeza hapa.
Mawasiliano
 
Want to silence snores, put on some flight socks to reduce fluid around your neck

  • Flight socks are thought to reduce fluid that builds up in the lower legs
  • At night some of this fluid 'shifts' up to the neck area as a result of gravity
  • This can lead to obstructive snoring-related condition sleep Apnoea

Socks usually worn to prevent blood clots during long-haul flights could also banish snoring, according to new research.
The flight socks are thought to reduce the amount of fluid that builds up in the lower part of the legs during the day.

Some studies have found that at night some of this fluid 'shifts' up to the neck area as a result of gravity when the patient is lying down. This can lead to obstructive sleep apnoea, a snoring–related condition that affects an estimated three million people in Britain.

020CE80300000578-2937164-image-a-1_1422921347285.jpg

Men who wore flight socks had less fluid moving to their neck and a reduction in sleep disruption

This occurs as a result of excess fat and fluid around the neck. The muscles in the neck then collapse, which shuts off breathing for ten seconds or more; the sound of snoring occurs as air vibrates against the soft tissue that stands in its way.

Once the brain realises breathing has stopped, it sends a signal for the airway muscles to contract again. This opens the airway and the patient wakes with a jolt.

This can happen about once every ten minutes or, in severe cases, every couple of minutes. Very few people remember waking up at all because they fall asleep again within seconds, yet they feel exhausted during the day.

It has other health implications as, left untreated, sleep apnoea is linked to raised blood pressure and heart attacks.

Treatment involves wearing a mask over the nose and mouth during sleep to gently pump air into the airways, keeping them open.

But some people find the mask cumbersome and research suggests nearly a third of patients never use the device.
howcast tell us what are the best snoring cures.

video-undefined-2305F14500000578-30_636x358.jpg

1B64536B000005DC-2937164-image-a-3_1422921353093.jpg

The socks reduce fluid 'shifting' up to the neck area

Flight socks - essentially cut-down versions of the compression stockings widely used on the NHS to treat varicose veins - could help some patients, according to the latest research from the University of Toronto in Canada.
These work by squeezing the lower leg to keep blood moving and stop the build-up of fluid.

The Toronto study recruited more than 50 men with sleep apnoea. Half wore compressions socks every day for two weeks, taking them off for bed; the rest wore ordinary socks.

At night, each patient was connected to a monitor to track their snoring while electrodes on the leg and neck area assessed the shift in fluid when they were lying down.

The results, published in the journal Sleep Medicine, showed that men who'd worn socks had less fluid moving to their neck and a reduction in the number of times their sleep was disrupted, from an average of more than 30 times an hour to around 15.

Men who wore ordinary socks saw virtually no change.D Simon Merritt, a consultant in respiratory and sleep medicine at the Conquest Hospital in Hastings, said:

'This isn't going to be a treatment in its own right, but it could become an adjunct to the conventional treatment.

Source
😀AILY MAIL

Aisée kama ikitokea mashindano ya kukoroma hakika nitakuwa kinara wa dunia.
 
Kukoroma kunaletwa na misuli ya koo kutokua na nguvu na njia rahisi ya kuimarisha misuli hii na kuondoa tatizo la kukoroma ni kutoa ulimi mpaka mwisho mara 20 kutwa mara 2 au 3 kwa siku.Baada ya wiki utaona tafauti kubwa na kupona kabisa baada ya wiki 2 au 3.Hii ni njia rahisi ambayo inaweza kufanywa na mtu yoyote na mimi mwenyewe nilipona kwa njia hii.

Sasa je, huyo mtoto mchanga afanyweje? Avutwe kaulimi???
 
Wadau habari za Valentine's day?

Naomba kujua tiba/dawa ya kuacha kukoroma usingizini,hili ni tatizo kwangu mwenyewe na mwanangu pia.Pia naomba kujua linasababishwa na nini?

Nasubiria majibu yenu yaliyajaa msaada tele.
 
Wadau habari za Valentine's day?

Naomba kujua tiba/dawa ya kuacha kukoroma usingizini,hili ni tatizo kwangu mwenyewe na mwanangu pia.Pia naomba kujua linasababishwa na nini?

Nasubiria majibu yenu yaliyajaa msaada tele.

Sababu ya kukoroma na jinsi ya kuzuia hali hiyo

Kukoroma ni tatizo linalowapata watu wengi wakati wanapolala ambalo linaweza kuwatokea watu wa kila umri ingawa hutokea mara nyingi kwa wanaume au watu wanene. Kukoroma huzidi kwa kadri umri unavyoongezeka na

asilimia 54 ya watu wazima hukoroma baadhi ya wakati huku asilimia 25 ya wengine wakiwa na tabia ya kukoroma kila wakati. Kukoroma baadhi ya wakati kwa kawaida sio tatizo kubwa na mara nyingi huleta tu karaha

kwa mtu anayelala karibu na mkoromaji. Hata hivyo kukoroma huko sio tu kwamba huharibu usingizi wa anayekoroma bali pia huwasumbua na kuwakeresha wanaolala karibu na mkoromaji. Wale wenye tabia ya

kukoroma, hukoroma kila wanapolala na mara nyingi huchoka wanapoamka, na watu wa aina hii hushauriwa kumuona daktari na kushauriwa kuhusiana na tatizo hilo. Lakini kabla hatujaendela mbele ni bora tujue kukoroma hasa ni nini au hutokea vipi?

Mtu huwa anakoroma pale kunapokuwa na kitu au sababu yoyote itakayoziba kuingia au kutoka kwa hewa mdomoni na katika pua. Kuta za koo hutikisika wakati wa kupumua na matokeo yake ni sauti inayosikika ya kukoroma. Kuingia au kutoka kwa hewa huweza kuzuiwa na sababu mbalimbali kama vile:
• Kuziba tundu za pua kusiko kamili ambako husababisha nguvu zaidi zitumike katika kupitisha hewa kwenye pua wakati mtu akiwa amelala. Kitendo hicho hupelekea nyama laini za pua na koo zijikusanye na kusababisha mkoromo. Kuna baadhi ya watu wanakoroma tu kipindi cha allergy (allergy season) au wanapatwa na matatizo ya sinus. Baadhi ya matatizo kama vile kupinda pua (deviated septum) au ukuta unaotenganisha tundu za pua na polyps za pua pia huweza kufanya pua zizibe na kusababisha kukoroma. Watu wengi wanaofanya operesheni za pua pia hupatwa na tatizo la kukoroma.
• Kuwa na misuli dhaifu katika koo na ulimi. Misuli au nyama za koo na ulimi zinapokuwa dhaifu sana hulegea na kuanguka upande wa nyuma wa sehemu inayopita hewa. Suala hilo hutokea pale mtu anapolala fofofo au kuwa na usingizi mzito na kusababisha kukoroma.
• Kuwa na misuli minene ya koo. Hii ni kwa wale watu wanene ambao hata nyama zao za koo pia hunenepa na kupanuka na suala hilo husababisha kukoroma, Pia watoto wenye tonsesi kubwa na adenoids baadhi ya wakati hukoroma.
• Kuwa na kilimi kikubwa ni mojawapo ya sababu zinazosababisha kukoroma. Kilimi kirefu kinaweza kuzuia koo na pale kinapotikisika wakati hewa inapita kwa msukumo husababisha kukoroma.
• Sababu nyinginezo zinazoweza kumsababishia mtu akorome anapolala ni kuwa na umri mkubwa au uzee, imeshuhudiwa kuwa watu wa makamo na wazee hukoroma, kwani misuli na nyama za koo huanza kuzeeka na kulegea kadri umri unayoongezeka. Vilevile wanaume wanakoroma zaidi kuliko wanawake hii ni kutokana na wanaume kuwa na njia nyembamba zaidi ya hewa kuliko wanawake. Kukoroma pia kunaweza kuwa ni tatizo la kurithi. Pombe, kuvuta sigara na matumizi ya baadhi ya dawa pia husababisha misuli ya koo ilegee na hivyo hupelekea mtu akorome. Kulala vibaya pia husababisha kukoroka kama vile kulala kichalichali, kwani hufanya nyama za koo zilegee na kuziba hewa.

Je, Dawa ya kukoroma ni nini?
Swali hilo limeuliwa sana na mimi katika kulijibu ningependa kusema kuwa, kujua sababu inayosababisha mtu akorome na kuitatua au kuiondoa sababu hiyo ndiko kunakotibu kukoroma. Sote tunajua adha inayotokana na

kukoroma, na sauti hiyo inavyosumbua hasa iwapo anayekoroma ni mtu wako wa karibu kama vile mumeo, mwenzi wako au yoyote yule inayekubidi ulale naye karibu au katika kitanda kimojana hata chumba kimoja. Kukoroma pia huathiri usingizi wa mkoromaji kwani anayekoroka humbidi aamke mara kadhaa usingizini akijua au

bila kujua kutokana njia zake za hewa kufunga kwa sekunde kadhaa ambapo usingizi pia hukatika. Wanaokoroma pia hushindwa kulala vizuri suala linalopelekea asubuhi wawe wamechoka na kutofanya majukumu yao vyema, na pia wale wanaolala nao karibu hupatwa na matatizo kama hayo. Vilevile tunapaswa kujua kuwa kukoroma kuna

athari za kiafya za muda mrefu kwa mtu anayekoroma hivyo si jambo la kufanyia mzaha na ni tatizo ambalo linapaswa kushughulikiwa na kutatuliwa.

Wataalamu wanatuambia kuwa ili kujua kukoroma kwako kunasababishwa na nini ni bora ushirikiane na mwenzi wako au yoyote unayelala naye ili akuchunguze pale unapolala na kujua jinsi mwili wako unavyokuwa pale unapokoroma. Ni bora aandae orodha na kuchunguza yafuatayo:

1. Kufunga mdomo na kukoroma kunaonyesha kuwa kuna matatizo ya ulimi.
2. Kufungua mdomo na kukoroma kunaonyesha unaweza kuwa na tatizo katika misuli au nyama za koo.
3. Kukoroma unapolala kichalichali kunaonyesha kuwa pengine kwa kubadilisha namna unavyolala kukoroma nako kunaweza kwisha.
4. Kukoroma wakati unapolala kwa kila mlalo kunaonyesha kwamba tatizo lako ni kubwa na pengine kunahitajia tiba kubwa zaidi.

Iwapo umebadilisha namna unavyolala na haikusaidia, unashauriwa ujaribu yafuatayo:
 Punguza uzito
 Safisha njia yako ya hewa. Kuwa na pua iliyoziba hufanya kupumua kuwe kugumu na kusababisha kukoroma. Unaweza kufanya hivyo kwa kutumia dawa za kusaidia kupumua kwa urahisi (nasal decongestants) zinazopatikana kwa urahisi katika maduka ya dawa.
 Wacha kuvuta sigara.
 Lala mapema na pata usingizi wa kutosha kila mara huku ukijiepusha na kuchoka sana. Kunyanyua kichwa kwa nchi 4 huweza kupunguza kasi ya kupumua na kusaidia ulimi na taya kwenda mbele hali ambayo hupunguza kukoroma. Fanya hilo kwa tumia mito maalum ya kupunguza kukoroma au lala bila mto.

Wataalamu pia wanasema kwamba unaweza kupunguza kukoroma kwa kutokula baadhi ya vyakula au dawa kabla ya kulala ambavyo huongeza kukoroma. Vitu hivyo ni kama vile
o Kutokula mlo mkubwa kabla ya kulala.
o Kutokula vyakula vinavyotokana na maziwa au maziwa ya soya.
o Kutokunywa pombe kabla ya kulala.
o Kutotumia dawa aina ya antihistamines.
o Kutotumia vyakula au vinjwaji venye kafeini.

Vilevile wanaokoroma wanashauriwa kufanya mazoezi ya koo ambayo ni pamoja na kuimba, kusoma kwa kurudia rudia voweli (a,e,i,o,u) kwa nguvu kwa dakika tatu mara kadhaa kwa siku, kuweka ncha ya ulimi chini ya meno ya mbele na kurudisha ulimi nyuma kwa dakika 3 kila siku au huku mdomo ukiwa wazi pelekea taya yako upande wa

kulia na wacha ibakie katika hali hiyo kwa sekunde 30. Huku mdomo ukiwa wazi, kaza misuli ya nyuma ya koo na rudia kitendo hicho kwa sekunde thelathini. Unaweza kutizama kwenye kioo na kuona jinsi kilimi kinavyokwenda juu na chini.

Iwapo kukoroma hakutoisha kwa kutumia njia hizo tofauti zilizoelezwa, usife moyo jaribu kumuona daktari na akupe ushauri wa kitiba kuhusiana na tatizo hilo. Madakatari wataalamu wa magonjwa ya pua, masikio na koo au ENT wanaweza kukusaidia zaidi kutatua tatizo hilo. Siku hizi kuna vifaa mbalimbali vinavyotumiwa mahospitalini ili kuondoa kukoroma kama vile kifaa kinachowekwa kwenye meno, CPAP, kidude kinachowekwa mdomoni au hata kufanyiwa operesheni ili kuondoa tatizo hilo.

Dawa ya kukoroma Fanya hivi:
Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma

na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu. Tumia hiyo dawa yangu kisha uje hapa utupe feedback Mkuu.@
Emilias G
 
Nitafanya hivyo mzee,then nitaleta mrejesho soon.
Asante na Ubarikiwe mkuu!

Jamani wadau naomba msaada wenu,

Mtoto wangu wa miaka mitatu na nusu akiwa na mafua usiku anapata shida sana kwenye kupumua lakini kwa sasa hana mafua wala kifua ila bado usiku anapumua vibaya.

Ni kama hawezi kuvuta na kutoa hewa vizuri kuna muda inabidi apumulie mdomo na ni akilala tu.

Je anaweza kuwa na tatizo gani au ni kawaida?

ASANTENI.
 
Pia kukoroma kunaletwa na uwingi wa mafuta mwilini na ulalaji vibaya.....

Umesahau ulaji mwingi wa kiti moto na Gongo.
Ukimuona Nyakageni ni mwembamba mno. Hana futa hata kidogo mwilini lkn Gongo inamaliza.
Anakoroma km trekta bovu. Nilimkuta kalala brbrni pale kigogo karibu na Klabu ya pombe haramu za moshi.

Ni hatari sana kwa afya.
 
Last edited by a moderator:
Naomba msaada kuelimishwa kuhusiana na tatizo la kukoroma wakati wa kulala, linasababishwa na nini, je ni nini tiba yake?!

Je mwanamke kukoroma ni kawaida?

Tumezoea wanaokoroma zaidi ni wanaume.

Naomba majibu na ushauri wenu wakuu.

Asante.
 
Moja kati ya haya yanaweza changia bila kujali jinsia ya mtu:
1.Uzito mkubwa wa mwili.
2.Uchovu mwingi.
 
Pia tabia ya kulala chali ambayo wanaume wengi wanaipenda inachangia saana. Sababu inablock njia ya hewa hivyo unapumua kwa shida. Ndio maana huwa inashauriwa kulala upande badala ya chali.
 
Nashukuru saana wakuu
 
Kuna mtu anasumbuliwa na Tatizo la kukoroma lililo pitiliza... Hii inamkosesha raha hata akiwa amelala na mpenz wake. Jaman ds s seriously msaada plz...!!
 
Back
Top Bottom