Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisilale tena itakuaje?usiwe unalala hautakoroma tena
AsantehPole....
Asanteh kwa ushaur wakoMwenzangu pole sana linakera sana hilo tatizo,jaribu kucheki uzito wako kukoroma ni dalili moja wapo ya overweight,uvutaji wa sigara pia.ndo kati ya hayo nilio shauriwa mwanzo
Nashukuru ntafanya hvyoKukoroma kunatokea pale unavolala vibaya.Kichwa unavyo kiweka unakuta haupumui vizuri ( uwezo wangu wa biology umeishia hapo ) hivo jaribu kutumia mto vizur
"Relax wakati wakulala"Habari wana jf naomba mnisaidie nifanyaje au nitumie dawa gan? Niache kukoroma ikizingatia mimi mtoto wa kike naomba nijue na chanzo cha kukoroma
Kivp hapo ndo nashindwa kuelewa"Relax wakati wakulala"
Wewe mtafute Sheikh au ustadhi akupe mafunzo ya vipi binadamu anatakiwa alale. kulalia ubavu wa kulia na vipi unaweka mkono na magoti.Kivp hapo ndo nashindwa kuelewa
Amtafute Sheakh Kipozeo au Dr Sule...hii ni kwa faida yako ..Wewe mtafute Sheikh au ustadhi akupe mafunzo ya vipi binadamu anatakiwa alale. kulalia ubavu wa kulia na vipi unaweka mkono na magoti.
Waislamu wamefundishwa jinsi ya kulala, ukiweza kufata maelezo,kukoroma kutapotea kwa sababu hutaiminya njia ya kupitia hewa,koromeo.
kama si muislamu,usiogope, hutakuwa muislamu kwa kulala aina hiyo.
Ninavyojua njia ya kupitia hewa haiminyiki kwa vyovyote kwasababu kwanza ni pana na imeundw Kwa mfupa laini(cartilage).Labda ungenipa mfano ni sehemu gani inaweza kuminywa na ukapata shida katika kupumua wakati umelalaWewe mtafute Sheikh au ustadhi akupe mafunzo ya vipi binadamu anatakiwa alale. kulalia ubavu wa kulia na vipi unaweka mkono na magoti.
Waislamu wamefundishwa jinsi ya kulala, ukiweza kufata maelezo,kukoroma kutapotea kwa sababu hutaiminya njia ya kupitia hewa,koromeo.
kama si muislamu,usiogope, hutakuwa muislamu kwa kulala aina hiyo.
Nashukuru ntafanya hvyoWewe mtafute Sheikh au ustadhi akupe mafunzo ya vipi binadamu anatakiwa alale. kulalia ubavu wa kulia na vipi unaweka mkono na magoti.
Waislamu wamefundishwa jinsi ya kulala, ukiweza kufata maelezo,kukoroma kutapotea kwa sababu hutaiminya njia ya kupitia hewa,koromeo.
kama si muislamu,usiogope, hutakuwa muislamu kwa kulala aina hiyo.
Ngoja nijitahd ila mimi ni mlalavBadili namna unavyolala.
Jaribu kujilazimisha kufunga kinywa chako unapolala, ingawa inakuwa ngumu usingizini waweza kukifungua tena bila wewe mwenyewe kufahamu.
Ila jitahidi, inawezekana
Amfate Sheikh Dr. Dau au Prof. Assad.Amtafute Sheakh Kipozeo au Dr Sule...hii ni kwa faida yako ..
Kuimimya ni kuzuia hewa isitembee kwa wepesi na sio kuinyonga. Kama unaelewa aina ya kulala kiislamu utaelewa. ni sawa na kuchinja mbuzi katoliki kwa nyundo ya kichwa au risasi na kuchinja ile ya kiislamu tofauti yake. Ndio nimemshauri aende aoneshwe vipi aepuke kukoroma.Ninavyojua njia ya kupitia hewa haiminyiki kwa vyovyote kwasababu kwanza ni pana na imeundw Kwa mfupa laini(cartilage).Labda ungenipa mfano ni sehemu gani inaweza kuminywa na ukapata shida katika kupumua wakati umelala