grand casual
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 255
- 161
Ana uzito gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashkuru...Nilihisi Ni hizo nyama Za pua... kama alifanyiwa Na Hakuna nafuu tafuta hospital nyingine U mpeleke. Huenda hawakutoa zote
NB: wanasema uwezekano wa kurudi Kwa hivyo vinyama Ni mkubwa, Tafuta daktari/,hospital afanyiwe uchunguzi wa kina. Pole Kwa kuuguza,MUNGU atakufanyia wepesi.
me ninachohitaji ni kupata nafuu kwa bint yangu namna iliyo salama mkuu..Unaamini katika tiba mbadala?
sasa kwa kairuki kwanini hakufanya hivyo awali..??..na ndipo hapo ambapo naona hakuna mafanikio...taizo limerudi kwa kasi.....Angalia wapi wana sleep clinic afanyiwe overnight observation, uliza kama kwa Kariuki wanayo.
hanaga homa..mkuu...kutwa nzima mbona anacheza kwa uchangamfu wa kutosha sanaa..!!..kimbembe kwenye kulala...ndipo mfumo wake wakupumua unapomtesa kwa kuroma....Chonde chonde wasikuambie ni asthmatic.
Vipi ana homa kali
nashkuru ndugu...Pole mkuu
Kijana wangu anahizo nyama tiba mbadala imemsaidiame ninachohitaji ni kupata nafuu kwa bint yangu namna iliyo salama mkuu..
nazingatia ushauri....
Overnight observation watagundua oxygen level anayopata akiwa amelala, kama kukoroma kunatokana na kuziba kwa njia ya hewa.sasa kwa kairuki kwanini hakufanya hivyo awali..??..na ndipo hapo ambapo naona hakuna mafanikio...taizo limerudi kwa kasi.....
Kwa hiyo inaweza ikawa ni airways nyembamba kupitisha hewa inakuwa tabu sana.hanaga homa..mkuu...kutwa nzima mbona anacheza kwa uchangamfu wa kutosha sanaa..!!..kimbembe kwenye kulala...ndipo mfumo wake wakupumua unapomtesa kwa kuroma....
Kukoroma ni moja ya dalili za kiasi kidogo cha oxygen kwenda kwenye mwili na ubongo unahitaji oxygen masaa 24.Usikubali kwa haraka haraka masuala ya upasuaji. Hospitali na Zahanati nyingi sasa hivi upasuaji kwao ni dili kwa sababu ya kutaka pesa. Mbaya zaidi uende ukiwa na kadi ya bima.
Kuna utafiti niliwahi kuusikia miaka ya 2000 kupitia chombo kimoja cha habari cha nje ya nchi kikisema kukoroma kwa mtoto mdogo ni moja ya dalili za kuwa na uwezo mudogo wa darasani hapo baadae japo sina uhakika.
Endelea kufuatilia lakini yawezekana ni tatizo la afya.
anala kwa tarabu za kawaida za mtoto kulala yaani kile kipindi cha alasiri....mapaka jioni....Kwa hiyo inaweza ikawa ni airways nyembamba kupitisha hewa inakuwa tabu sana.
Au anachoka sana kutwa na kulala kwake inakuwa tabu.
Mimi sio mtaalamu ila ningekushauri ukaonane na wataalamu
Pole sana. mtoto wangu alikuwa na tatizo hilo akiwa na umri wa miaka 3-4. alikuwa akilala utafikiri mtu mzima kalala ndani, tukampeleka Agakhan ikagundulika ananyama za pua akafanyiwa upasuaji kuondoa pia wakamtoa tonsils. Baada ya hapo saaafi kabisa huu mwaka wa 3 sasa kimya-kimya akilala. Nenda kawaone wataalam..W
Waungwana naombeni msaada wa ushauri juu ya tatizo la mtoto wng.
october 2016 tulimpeleka kwa kairuki mikocheni hosptl kwa specialist wa sikio,pua na koo....
Tukaambiwa anasumbuliwa na nyama za pua,akafanyiwa upasuaji mdogo,hata hivyo tangu afanyiwe huo upasuaji hatujawahi kuona nafuu huu ni mwezi wa tatu sasa....kifua na mafua havipoi kwake...
Dawa tunazopewa ni kama zinatuliza tuu,lakini sio za kuondoa tatizo la kukoa na mafua yake,yaani usiku ni shida anapumua kwa tabu na mdomo wazi....kukoroma sasa.....??...mpaka hatulali.....
Msaada kutoka jukwaa hili maoni ushauri,pengine wapi naweza kwenda kupata ufumbuzi wa tatizo hili,kiukweli mwanangu anapata tabu sana nyakati za usiku alalapo na hilo tatizo....
nawasilisha tafadhari.....
najishauri nirudi tena kwa kairuki au niangalie mahala pengine...???.Pole sana. mtoto wangu alikuwa na tatizo hilo akiwa na umri wa miaka 3-4. alikuwa akilala utafikiri mtu mzima kalala ndani, tukampeleka Agakhan ikagundulika ananyama za pua akafanyiwa upasuaji kuondoa pia wakamtoa tonsils. Baada ya hapo saaafi kabisa huu mwaka wa 3 sasa kimya-kimya akilala. Nenda kawaone wataalam..
jibu hili hapa mkuu [emoji121][emoji121]Pole sana. mtoto wangu alikuwa na tatizo hilo akiwa na umri wa miaka 3-4. alikuwa akilala utafikiri mtu mzima kalala ndani, tukampeleka Agakhan ikagundulika ananyama za pua akafanyiwa upasuaji kuondoa pia wakamtoa tonsils. Baada ya hapo saaafi kabisa huu mwaka wa 3 sasa kimya-kimya akilala. Nenda kawaone wataalam..
najishauri nirudi tena kwa kairuki au niangalie mahala pengine...???.