Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

ukidozi misuli laini ya kwenye njia ya hewa hulegea na kuziba njia ya hewa na hewa hupita kwa tabu. dawa ni mazoezi kupunguza nyama zembe, kufanya surgery kuondoa nyama zembe au kudozi na mask ya kupumulia.
 
Uzito ni tatizo mkuu!!!
Ebu fatilia historia yako ya nyuma kabla uzito haujaongezeka then utapata jibu!!
 
Kuna Dr mmoja niliongea nae hili swala anasema kuna nyama fulani zinakua puani zinatakiwa kukatwa, waone madaktari utapata solution ya tatizo lako.
 
jjamani nami nina wa miezi miwili ana hilo tatizo.lakini hii mbinu ya kutoa ulimi inakuwa ngumu.msaada mwingine jamani kama upo
 
Guys nini dawa ya kuacha kukoroma??plz nisaidiwe kwa hilo..
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma

na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu. Tumia hiyo dawa yangu kisha uje hapa utupe feedback Mkuu.@
kwavi
 
Hii,nimefanya zoezi rafiki,nimewauliza nnaolala nao,majibu yalikua hivi
.umepunguza kukoroma
.haukoromi kila siku kama ilivokua awali
.bado unakoroma kama zaman..
Daah siipend hal hii..ushauri zaid plz
 
Hii,nimefanya zoezi rafiki,nimewauliza nnaolala nao,majibu yalikua hivi
.umepunguza kukoroma
.haukoromi kila siku kama ilivokua awali
.bado unakoroma kama zaman..
Daah siipend hal hii..ushauri zaid plz
Jaribu tena kwa muda wa siku 21 mnfululizo utakuwa umekwisha kutibu maradhi yako. Mkuu kwavi
 
Nauliza kama kuna dawa yoyote ya kuzuia kukoroma, na nini kinasababisha mtu akorome,
 
ndugu bwana Jf, siku za nyumba nilikuwa sina tabia ya kukoroma nikiwa usingizini.
siku za hivi karibuni nime develop Tabia ya kukoroma nikiwa usingizini hadi Mimi mwenye some times najishtukia.
Hili tatizo linasababishwa na nini, je inaweza kuwa kuongezaka kilo(kunenepa) au ni ugonjwa?
majuz nimepima uzito na kujikuta nimeongezeka kilo 4.from 74 kgs to 78kgs.umri Wangu ni 34 yrs.
 
Back
Top Bottom