Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Kuna mtu anasumbuliwa na Tatizo la kukoroma lililo pitiliza... Hii inamkosesha raha hata akiwa amelala na mpenz wake. Jaman ds s seriously msaada plz...!!
Kuna mtu anasumbuliwa na Tatizo la kukoroma lililo pitiliza... Hii inamkosesha raha hata akiwa amelala na mpenz wake. Jaman ds s seriously msaada plz...!!
uTAKAPOPEWA USIACHE KUULIZIA KWA DACTARI AU PHAMARCY YENYE WATAALAMU MAANA KWWA HALI YAKE YA UJAUZITO SIO KUPEWA DAWA NA KUINYWA WITHOUT UTAFITI...OK BEST DAWA KWA HALI YAKE NI NOSIC...AENDE PHAMARCY WAMWANDIKIE HIZO...ZITAKATA HIYO HALI NA KURUDI KATIKA HALI YAKE VIZURI...POLE MKUU HALI HIYO SIO MCHEZOMke wangu ana ujauzito wa miezi 3 tatizo anatapika sana,kiasi kwamba wakati mwingine anabaki kukoroma kama kuku aliyekabwa.Kwa sasa yuko dhaifu mno mpaka naogopa.Kwa anayejua dawa ya kutuliza/kutibu anijuze ili nikaitafute sasa hivi!
uTAKAPOPEWA USIACHE KUULIZIA KWA DACTARI AU PHAMARCY YENYE WATAALAMU MAANA KWWA HALI YAKE YA UJAUZITO SIO KUPEWA DAWA NA KUINYWA WITHOUT UTAFITI...OK BEST DAWA KWA HALI YAKE NI NOSIC...AENDE PHAMARCY WAMWANDIKIE HIZO...ZITAKATA HIYO HALI NA KURUDI KATIKA HALI YAKE VIZURI...POLE MKUU HALI HIYO SIO MCHEZO
Nashukuru naenda sasa hivi dukani kununua hiyo nosic,majibu nitakupa!
mpeleke mkeo hospital wakajue sababu na matibabu yake,hivi unajua madhara yatokanayo na kutapika exccessively hvyo,.hiyo dawa unayoenda kuinunua unajua inafanyaje kazi,indication ya matumiz na side effects zake?
Nashukuru naenda sasa hivi dukani kununua hiyo nosic,majibu nitakupa!
Wanajf nawashukuru sa-a-a-a-na,dawa mliyonishauri alipewa vidonge 10 ajabu alipotumia viwili vya mwanzo tu kutapika kumekata.
Mke wangu ana ujauzito wa miezi 3 tatizo anatapika sana,kiasi kwamba wakati mwingine anabaki kukoroma kama kuku aliyekabwa.Kwa sasa yuko dhaifu mno mpaka naogopa.Kwa anayejua dawa ya kutuliza/kutibu anijuze ili nikaitafute sasa hivi!