Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

nashkuru...
 
Angalia wapi wana sleep clinic afanyiwe overnight observation, uliza kama kwa Kariuki wanayo.
sasa kwa kairuki kwanini hakufanya hivyo awali..??..na ndipo hapo ambapo naona hakuna mafanikio...taizo limerudi kwa kasi.....
 
Chonde chonde wasikuambie ni asthmatic.
Vipi ana homa kali
hanaga homa..mkuu...kutwa nzima mbona anacheza kwa uchangamfu wa kutosha sanaa..!!..kimbembe kwenye kulala...ndipo mfumo wake wakupumua unapomtesa kwa kuroma....
 
Kwenye suala la koo Yawezekana alikunywa MAJI ya uzazi na suala LA pua zitakuwa hzo nyama yawezekana zimeota tena ila tafuta Hosp. Ujarib
 
sasa kwa kairuki kwanini hakufanya hivyo awali..??..na ndipo hapo ambapo naona hakuna mafanikio...taizo limerudi kwa kasi.....
Overnight observation watagundua oxygen level anayopata akiwa amelala, kama kukoroma kunatokana na kuziba kwa njia ya hewa.
 
Mpatie juice ya mlonge ni tiba ya magonjwa mengi
 
hanaga homa..mkuu...kutwa nzima mbona anacheza kwa uchangamfu wa kutosha sanaa..!!..kimbembe kwenye kulala...ndipo mfumo wake wakupumua unapomtesa kwa kuroma....
Kwa hiyo inaweza ikawa ni airways nyembamba kupitisha hewa inakuwa tabu sana.
Au anachoka sana kutwa na kulala kwake inakuwa tabu.

Mimi sio mtaalamu ila ningekushauri ukaonane na wataalamu
 
Usikubali kwa haraka haraka masuala ya upasuaji. Hospitali na Zahanati nyingi sasa hivi upasuaji kwao ni dili kwa sababu ya kutaka pesa. Mbaya zaidi uende ukiwa na kadi ya bima.
Kuna utafiti niliwahi kuusikia miaka ya 2000 kupitia chombo kimoja cha habari cha nje ya nchi kikisema kukoroma kwa mtoto mdogo ni moja ya dalili za kuwa na uwezo mudogo wa darasani hapo baadae japo sina uhakika.
Endelea kufuatilia lakini yawezekana ni tatizo la afya.
 
Kukoroma ni moja ya dalili za kiasi kidogo cha oxygen kwenda kwenye mwili na ubongo unahitaji oxygen masaa 24.
 
Kwa hiyo inaweza ikawa ni airways nyembamba kupitisha hewa inakuwa tabu sana.
Au anachoka sana kutwa na kulala kwake inakuwa tabu.

Mimi sio mtaalamu ila ningekushauri ukaonane na wataalamu
anala kwa tarabu za kawaida za mtoto kulala yaani kile kipindi cha alasiri....mapaka jioni....
hilo la kumuona mtaalamu nimelibeba mkuu...
 
Pole sana. mtoto wangu alikuwa na tatizo hilo akiwa na umri wa miaka 3-4. alikuwa akilala utafikiri mtu mzima kalala ndani, tukampeleka Agakhan ikagundulika ananyama za pua akafanyiwa upasuaji kuondoa pia wakamtoa tonsils. Baada ya hapo saaafi kabisa huu mwaka wa 3 sasa kimya-kimya akilala. Nenda kawaone wataalam..
 
najishauri nirudi tena kwa kairuki au niangalie mahala pengine...???.
 
jibu hili hapa mkuu [emoji121][emoji121]
najishauri nirudi tena kwa kairuki au niangalie mahala pengine...???.
 
Fuata ushauri lakini usisahau kumpeleka kwa Dr.wa ENT usipate ana matatizo ya tonsil and adenoid yamevimba nenda kwa Daktari wa ENT pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…