Kukosa Hela


Mchumba unaweza kupigana kweli?
 
Afadhar we unawadai hata watu mie sijaingiza hata sent mwezi na... Nipo tu kama sipo lkn i can't give up....!
 
Usiombe ukakosa hela,
Yaani hata comment za jf zinakuwa fupi fupi ...
Ila bora wewe unadai..mi nadaiwa mpaka nimebadilisha namba ya simu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dawa ya deni kulipa
 
Mi siku hizi ikifika saa saba au nane lazima niamke. Na nitakaa macho hata masaa mawili au matatu
Pole sana.
Ila hamna kitu inakera kama unamkopesha mtu pesa na hataki kukulipa na si kwamba hana basi tu dharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…