Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mungu akufanyie wepesiAmina wakunyumba. Hapa ndo navyojisikia hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akufanyie wepesiAmina wakunyumba. Hapa ndo navyojisikia hivyo.
Najisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] namba ya wakala,,,huchelew mkuuNikutafute au nikupe namba ya wakala dear?
We si ukikohoa tu GENTAMYCINE anakupa???Mungu akufanyie wepesi
Kanapatikana wapi mkuu,Acha hiyo kazi tafuta nyingine inayolipa zaidi
Nalipaje sasa my dear....[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dawa ya deni kulipa
Nilikopa sina helaKama ulivyokopa. [emoji23][emoji23]
Pole sana.Mi siku hizi ikifika saa saba au nane lazima niamke. Na nitakaa macho hata masaa mawili au matatu
Uzuri hata wakibeba shangazi kaja loote halitoshi hiyo hela yao...Ngoja waje kubeba hizo nguo