Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kama jibu unalo unataka wachangiaji wachangie nn hapo?Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Anàliwa vizuri tu na unashiba.Ni kweli lakini Hoja ya mdau si analiwa??
Kwa mimi ni Analiwa alimradi kilichomuua huyo kuku hakitamwathiri Mlaji.
Kama kuna dharura kwa maana hakuna chakula ila huyo mnyama aliyekufa bila ya kuchinjwa unaweza ukakata njaa, hivyo ni kwa imani ya kiislamu. Si vizuri kula nyama ya mnyama aliyekufa, kwani hujui kifo chake kimesababishwa na nini? Huenda alikuwa na maradhi ambayo ukila nyama yake yanaweza kukudhuru wewe mlaji. Ndiyo maana unashauriwa ukitaka kuchinja umchinje mnyama mwenye afya, ambaye hana maradhi ili hata wewe mlaji usidhurike.Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Kwa mujibu wa Taratibu za Kisheria kuhusu Uandaaji wa Nyama itakayoliwa na Binadamu (Slaughter Practices ) zinadai pamoja na mengine, mnyama aliyekusudiwa huchinjwa (Hukatwa shingo) akiwa hai na damu yake kutiririshwa. Linapokuja suala la Udini ndipo tunapokutana na Halal, Rabbinic, Traditional n.k. vitu ambavyo ni vya Kiimani zaidi.Nyama ya kuku kwenye mabar na vibanda vingi vya chips ni vibudu. Walinyongwa kabla ya kuchinjwa baadae na wengi ni wa wizi
Niko kwenye hii industry. Na hii sio kweli. Kama wapo ni less than 20%Nyama ya kuku kwenye mabar na vibanda vingi vya chips ni vibudu. Walinyongwa kabla ya kuchinjwa baadae na wengi ni wa wizi
Kwa nini afe? Amezeeka?Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Lakini bwashee unachukuapo na Tahadhari ukizingatia kwamba e.g. "mafua ya ndege H5N1 huambukiza binadamu (2016 yalitikisa sana) pia Salmonella sio poa kwa binadamu.Anàliwa vizuri tu na unashiba.
Kwa mujibu wa kifungu ulichokitoa wewe mtoa ni Najisi yaani wewe ni haramu je unakubali?TUSHAKUBALIANA KATKA UKRISTO HAKUNA MAKATAZO KWENYE KULA, KIMUINGIACHO MTU SI NAJISI BALI KMTOKACHO TU
Kuchinja hufanywa Ili kuflash damu nje ya mwili kwa kasi,damu ndiyo hubeba vimelea vya magonjwa,kwa waislam mnyama akiwa amejeruhiwa nadhani hafai kuchinjwa, ndiyo maana huko nyuma ukifundushwa kuchinja sharti kwanza uchinje mchinjo mdogo Ili damu itoke kwa nguvu kisha unamalizia, mnyama akijifia mwenyewe hujui kimemuua nini,pengine maradhi ya kuambukiza,ndiyo maana kuna mabwana nyama machinjioni kukagua nyama ikiwa wanyama hawakuwa na maradhiEti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..