Kuku kibudu aliyekufa akachinjwa ana shida gani?

Nadharia ☝️

Sumu inaweza kuwepo kwenye misuli (interstitial of muscle tissues), damu, au mifupa. Kama lengo ni kuchinja ili kutililisha sumu nje ya mwili, vipi endapo Kuna sumu nyingine kwenye Interstitial of muscle tissues.
Pia, vimelea vingine huwa vinakuwepo ndani ya cell za mnyama (cell zinaweza kuwa RBC, WBC, lymph cells, liver cells, etc).
Kwa hiyo, dhana ya kwamba kuchinja kunasaidia kutoa nje vimelea Vya magonjwa au sumu, kwangu Mimi, inaweza kuwa na ukweli wa <10%.
 
Umeeleza vizuri mkuu. Mwenye uelewa atakuwa amekuelewa.
 
Upo porin unawinda na mishale
Ukamchoma swala mshale swala akakimbia ukamfuatilia ukakuta amekufa
Je huyu swala nae hafai kuliwa?? Coz umekuta ameshakufa?
Hiyo ni mboga murwa kabisa. Ila mjomba jihadhari na wale wanoko waliomsababishia yule mama wa kg 12 kifungo cha miaka 22 huko Iringa.
 
Kuna nchi wanaua kwa umeme
 
Hizo ni mila tu na tamaduni ila mnyama akifa kwa sababu zinazojulikana mfano kamba imemnyonga bahati mbaya , kama hajapitisha masaa mengi unakata shingo una mwandaa tu mezani😅😅
Once umekataa hizo mila kwani hata akipitiza masaa mengi nini kinakuzuia kumla
 
Kuna nchi wanaua kwa umeme
Zipo njia nyingi zijulikanazo kama Humane Slaughtering methods. Wengine wanaua kwa bunduki(Bolt),wengine kwa risasi, wengine kwa kutumia hewa ya ukaa - hiyo ya umeme ni mojawapo ya Humane slaughtering methods.
 
Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Hata akila sumu kali na kufa ndani ya nusu saa wewe nyofoa kichwa muandae vizuri kula supu wala hakutakuwepo na shida yoyote mkuu.
 
Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Inategemea amekufa kutokana na ugonjwa gani?
Kama amekufa labda kapigwa jiwe au kagongwa mbona swadakta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…