Kuku kuchi hawa ni original?

Kuku kuchi hawa ni original?

Bado sijaona sababu yenye mashiko kuuzwa bei kubwa hivyo.
Haya mapo yanakujaga kama network marketing tu ukiyafatilia hakuna uhalisia.
Ujinga mtupu tu , hamna cha maana hapo , unanunuaje kuku laki moja mpak laki tatu kuku mmoja ... Bora uende shamba ukachukue kuchi wa kienyeji jogoo wa maana Kwa 15000, nimeshagundua hapa duniani ukikosa information unaweza ukaaminishwa kitu cha hovyo na ukapigwa hela mpak ukajidharau....

Ndo haya haya cadeti ya 25k Kwa machinga , ukienda mliman city unauziwa Kwa 95k
 
Katika vitu nisivyovipenda ni pamoja na hawa kuchi.
Yaani unakuta kijogoo cha kuchi eti kinauzwa laki mbili, unajiuliza nyama yake ina tv ndani?.

Ila ndugu huyo ni kuchi sema ameshazeeka, na akitokea anaemtaka utamuuzia laki na nusu na wewe utaenda kununua majogoo saba makubwa kwa elfu ishirini, pia sio vibaya ukiamua kumla. Ila utambue ukimla ni sawa na umekula mbuzi. Kupanga ni kuchagua na uamuzi ni wako

MATAGA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi nilikuwa nahitaji wawili nikapate mbegu eti ananiambia jogoo kuchi mmoja 180,000/ nikasema Lol.

Hata sikumtafuta tena huyo Mtu kwanu bei ilinikimbiza.
 
Ujinga mtupu tu , hamna cha maana hapo , unanunuaje kuku laki moja mpak laki tatu kuku mmoja ... Bora uende shamba ukachukue kuchi wa kienyeji jogoo wa maana Kwa 15000, nimeshagundua hapa duniani ukikosa information unaweza ukaaminishwa kitu cha hovyo na ukapigwa hela mpak ukajidharau....

Ndo haya haya cadeti ya 25k Kwa machinga , ukienda mliman city unauziwa Kwa 95k
Umenicuekesha sana lisemwalo lipooooooo kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga mtupu tu , hamna cha maana hapo , unanunuaje kuku laki moja mpak laki tatu kuku mmoja ... Bora uende shamba ukachukue kuchi wa kienyeji jogoo wa maana Kwa 15000, nimeshagundua hapa duniani ukikosa information unaweza ukaaminishwa kitu cha hovyo na ukapigwa hela mpak ukajidharau....

Ndo haya haya cadeti ya 25k Kwa machinga , ukienda mliman city unauziwa Kwa 95k
Sema unaongelea kuku wa kienyeji jogooo unapata mpaka elfu3 kijijini achana na elfu15

Kuchi ndo huyo ss kuchi wako wa kienueji kijiji sijui unahisi huyo ni wakisasa
 
Sawa nakubali asili yake inaweza kuwa ni India lakini sasa kwa hapa kwetu Tanzania wanapatikana au Hawapo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, mimi si mfugaji nilikuwa naweka tu rekodi sawa kwamba ni Kuku wa kigeni.

Ila kuna Wadau naona wanatambulisha aina mbalimbali za Kuku nadhani na hao watakuwa nao.

Hebu pitia huku:-
 
Back
Top Bottom