ally salu
Member
- Nov 19, 2019
- 55
- 72
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapaa huyo kama air TanzaniaSababu ya kuuzwa laki mbili?
Anatumika kwa kazi gani?
Ongea na mleta mada akuelekeze aliponunua mkuu. Yeye atakua na msaada kwa hilo.
Uko mkoa gani nije kudalalia vifaranga vi3Mpaka sasa na mitetea mi tatu jogoo mmoja.kwenye hawa majike mmoja analalia kataga mayai ma 5 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga mtupu tu , hamna cha maana hapo , unanunuaje kuku laki moja mpak laki tatu kuku mmoja ... Bora uende shamba ukachukue kuchi wa kienyeji jogoo wa maana Kwa 15000, nimeshagundua hapa duniani ukikosa information unaweza ukaaminishwa kitu cha hovyo na ukapigwa hela mpak ukajidharau....Bado sijaona sababu yenye mashiko kuuzwa bei kubwa hivyo.
Haya mapo yanakujaga kama network marketing tu ukiyafatilia hakuna uhalisia.
Kuna kipindi nilikuwa nahitaji wawili nikapate mbegu eti ananiambia jogoo kuchi mmoja 180,000/ nikasema Lol.Katika vitu nisivyovipenda ni pamoja na hawa kuchi.
Yaani unakuta kijogoo cha kuchi eti kinauzwa laki mbili, unajiuliza nyama yake ina tv ndani?.
Ila ndugu huyo ni kuchi sema ameshazeeka, na akitokea anaemtaka utamuuzia laki na nusu na wewe utaenda kununua majogoo saba makubwa kwa elfu ishirini, pia sio vibaya ukiamua kumla. Ila utambue ukimla ni sawa na umekula mbuzi. Kupanga ni kuchagua na uamuzi ni wako
MATAGA
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenicuekesha sana lisemwalo lipooooooo kakaUjinga mtupu tu , hamna cha maana hapo , unanunuaje kuku laki moja mpak laki tatu kuku mmoja ... Bora uende shamba ukachukue kuchi wa kienyeji jogoo wa maana Kwa 15000, nimeshagundua hapa duniani ukikosa information unaweza ukaaminishwa kitu cha hovyo na ukapigwa hela mpak ukajidharau....
Ndo haya haya cadeti ya 25k Kwa machinga , ukienda mliman city unauziwa Kwa 95k
Mtafuta jogoo na jike wake lasivyo utafanya kazi ya kutoa copy tyuKuna kipindi nilikuwa nahitaji jogoo nikapate mbegu kwenye mitetea yangu eti ananiambia jogoo kuchi mmoja 180,000/ nikasema Lol.
Hata sikumtafuta tena huyo Mtu hapa naendelea na kuku wangu wa kawaida.
Nmekosa kuku[emoji24]
Sema unaongelea kuku wa kienyeji jogooo unapata mpaka elfu3 kijijini achana na elfu15Ujinga mtupu tu , hamna cha maana hapo , unanunuaje kuku laki moja mpak laki tatu kuku mmoja ... Bora uende shamba ukachukue kuchi wa kienyeji jogoo wa maana Kwa 15000, nimeshagundua hapa duniani ukikosa information unaweza ukaaminishwa kitu cha hovyo na ukapigwa hela mpak ukajidharau....
Ndo haya haya cadeti ya 25k Kwa machinga , ukienda mliman city unauziwa Kwa 95k
Ooh. Sawa Mkuu.Mtafuta jogoo na jike wake lasivyo utafanya kazi ya kutoa copy tyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha sana lisemwalo lipooooooo kaka. Shukuru sana unakutana na hizi information ipo siku utafatilia information ambazo unazidharau alafu zitakupeleka mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa ni wewe tu ila mi na komaaOoh. Sawa Mkuu.
Ila nilishaghairi kufuga hao makuchi Mkuu.
Zidi kukomaa Mkuu.
Hapana, mimi si mfugaji nilikuwa naweka tu rekodi sawa kwamba ni Kuku wa kigeni.Sawa nakubali asili yake inaweza kuwa ni India lakini sasa kwa hapa kwetu Tanzania wanapatikana au Hawapo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angetaka isiwe ghali heri anunue mayai yai la kuchi elfu 10 anatotolesha hata 5 anafuga wakikua watazaliana