cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,419
Usijali karibu.
Itabidi na mimi nikupe new recipe,nahisi tuna same taste nimekumba ile jollof rice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali karibu.
Nasubiri final product hapa
Iyo oven ni safi,yangu haitamaniki mara nyingi huwa naoka
Paprika au?Hivi kile kiungo kinafanya nyama inakuwa nyekundu kinaitwaje?
Hivi kile kiungo kinafanya nyama inakuwa nyekundu kinaitwaje?
Giligilani ni kotmir wengine tunaita ivo.au coriander.
Alafu bilinganya nimelisahau kuweka kwenye mahitaji apo ahsante kwa kunikumbusha.
Kila la kheir tunasubir kesho,chai na maandazi yummy yummy
Itabidi na mimi nikupe new recipe,nahisi tuna same taste nimekumba ile jollof rice
Tandoor masala?
Hayo kama matunda yaliyokatwa nusu yenye kama mbegu mbegu ni nini
Huwa huisafishi?
Na kwani huwa huna baking tray? Aluminum foil?
Tray ziko poa kwa sababu huwa natumia foil,oven huwa naosha but nikisafiri kidogo nakuta mume katumia mara nyingi bila kuosha,
Usijali,nikipata muda wa ku type si unajua tena shughuli yake 😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣 nipe nitashukuru kwa kweli.
350C.
Dah mapishi ya kishua haya ,Nayepuliza moto hadi macho yamekuwa mekundu sijui naandaje msosi huo
Hivi haya majiko ya kuchonga ya mkaa yanayotumika kuoka nayo yanafikisha 350C, na mbona kama ni moto mkali kinaiva vizuri?
Tray ziko poa kwa sababu huwa natumia foil,oven huwa naosha but nikisafiri kidogo nakuta mume katumia mara nyingi bila kuosha,
Yani atanisamehe tuu ,nonstick pan na jiko la kuchoma nyama havifai vimekwanguliwa 😂😂Unamsema shemegi.[emoji23]
Bilinganya.
Asante mkuuKaribu ukae.