Kuku wa kuoka pamoja na mboga mboga

Kuku wa kuoka pamoja na mboga mboga

Giligilani ni kotmir wengine tunaita ivo.au coriander.
Alafu bilinganya nimelisahau kuweka kwenye mahitaji apo ahsante kwa kunikumbusha.
Kila la kheir tunasubir kesho,chai na maandazi yummy yummy

Hayo kama matunda yaliyokatwa nusu yenye kama mbegu mbegu ni nini
 
Hivi haya majiko ya kuchonga ya mkaa yanayotumika kuoka nayo yanafikisha 350C, na mbona kama ni moto mkali kinaiva vizuri?

Me hayo majiko ata siyajui.

350C ni moto wa wastani kwa oven huo tunatumia hata kubake cake.
 
Tray ziko poa kwa sababu huwa natumia foil,oven huwa naosha but nikisafiri kidogo nakuta mume katumia mara nyingi bila kuosha,

Hahahahaa! Kumbe mume ndo huwa anaharibu eeh...

Ila kama unapenda kutumia oven kuoka, ni muhimu uka maintain usafi wake.

Hususan kama kuna mafuta mafuta yemedondoka au yamechuruzika. Huwa hazikawii kutoa moshi.

Na moshi ukishaanza, smoke detector nazo zinaanza. Huwa zinanikera sana hizo detector...zina kelele mno [i guess lengo lake ni zuri, hata hivyo]
 
Back
Top Bottom