Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Haaahaaππ Mimi nanunuaga@8000Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo la elf 6 ni kubwa unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine.
Pringles zipo za aina nyingi nyingi sana, binafsi zilizonibamba ni hot n spicy pamoja na bbq.
View attachment 2986627
View attachment 2986629
Aya sawa aana tushazoea michembe
- mini markets za mtaani
- maduka ya sheli za mafuta
- super market
Mwanaume unapendeleaje vitu vitamutamu umekuwa mdada?Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine.
Pringles zipo za aina nyingi sana kwa ladha, binafsi iliyonibamba ni hot n spicy
View attachment 2986639
Watoto wa Upanga bana dah πPringles my favorite snack. Imenikumbusha miaka ya nyuma wakati nipo sekondari nilikuwa na cousin wangu ( R.I.P) tunazurura town bahati tukakutana na rafiki yake mama akatupeleka min market moja akauliza niwanunuie nini Mimi nikasema Pringles cousin wangu akaulizwa na yeye anataka nini akajibu kama hicho hicho. Basi akalipia tukaondoka kufika nje couzin akaniuliza kwani hizi ni nini?? Nilicheka mno kumbe alikuwa hata hajawahi ziona nilitamani kumdanganya ili aniachie ila nikamwelekeza alivyoonja alishangaa kwa nguvu mbona vitamu hivi na toka Siku hiyo akawa mpenzi sana wa pringles.
utamu hauna jinsia wala umri wala rangi wala kabilaMwanaume unapendeleaje vitu vitamutamu umekuwa mdada?
Kitu cha buku mtaani kinauzwa elfu 8 kwenye supermarkets zaidi kitakuwaje maarufu?π Hivi unajua hio hela familia inakula mlo kamili kabisa huku uswazi kwetu.Hii kitu niliiona mara moja tu chuo, mtoto mmoja wa kishua alikuja nayo room. Eeh sio maarufu au wanakula kwa kujidicha watu?
6000 kombe ngapi za gahawa na shata?Kweli maisha tumetofautiana sana....... wakati wengine hiyo 6,000/= tunakula siku 2.....kuna mtu ananunua udambwi udambwi wa kuchangamsha mdomo Tu...........
Ngoja tuendelee kupiga gahawa mchana upite......
View attachment 2986638
ni suala la starehe mkuu, hata uswazi ni kawaida mtu mwenye starehe ya viti virefu kutumia elf 10 kwenye pub kila sikuKitu cha buku mtaani kinauzwa elfu 8 kwenye supermarkets zaidi kitakuwaje maarufu?π Hivi unajua hio hela familia inakula mlo kamili kabisa huku uswazi kwetu.
Hio 6000 ni mlo wa wiki kabisa na familia inafurahi sana michicha na sukumawiki kwa wingi nyama mpaka Sikukuu ukitaka nyama kuna mishkaki ya hasara Miguu ya kuku na utumbo wa kuku bila kusahau Pweza na Ngisi bei nafuu 200/300 unajichana unavyotaka mswahili mswahili tuKitu cha buku mtaani kinauzwa elfu 8 kwenye supermarkets zaidi kitakuwaje maarufu?π Hivi unajua hio hela familia inakula mlo kamili kabisa huku uswazi kwetu.
Mimi ni wa Njombe mkuu nmezaliwa na kukulia huku, Upanga hata sijawahi kufikaWatoto wa Upanga bana dah π
Duh!!6000 kombe ngapi za gahawa na shata?