Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Haaahaa😊😊 Mimi nanunuaga@8000Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo la elf 6 ni kubwa unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine.
Pringles zipo za aina nyingi nyingi sana, binafsi zilizonibamba ni hot n spicy pamoja na bbq.
View attachment 2986627
View attachment 2986629