Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
ha ha ha ha ulimwengu wa sasa, ukimpa savana nne tu, mnaanza kuongea mengineAnamezwa mtu hapo si muda.🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ulimwengu wa sasa, ukimpa savana nne tu, mnaanza kuongea mengineAnamezwa mtu hapo si muda.🤔
Mkuu wewe hutoki?kila la kheri....
na nikiwa na vaibuu, hua sinaga aibuTwende ukapate vaibu
Halafu sadaka unapeleka wapi?Nikimaliza hii bia naokoka zangu na kuanza kuvaa mashati ya vitenge kama Mbilia Abel.
Aya jiandae nakuja kukuchukuana nikiwa na vaibuu, hua sinaga aibu
wanakuja na abaya wamevua hijaabu
naona maajabu kukosa tungi clabu
Ni kweli mkuu, watu wanatafuta wanasahau kuishi, mwisho wa siku ukiondoka, wale uliowaachia mali wanaanza kuzichezea.Ukipata nafasi kula raha na starehe. Maisha yenyewe mafupi
naogopa tangulia najaAya jiandae nakuja kukuchukua
Leo hutoki?Hongereni sana asee
Huyo ni muhimu sana, maisha ni kujipongeza piaJohnnie Walker mezani
Huwa sitokagi mkuu ,mimi ni wa kazini chooni na kitandani 🤣🤣🤣🤣🤣Leo hutoki?
Inawezekana tuko wengi 😀naogopa tangulia naja
Una umri gani Mkuu ?Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo.
Mi nimeshapiga pamba zangu nyeupe kwa ajili ya kujichanganya na jamii; we unajipanga kwa lipi katika wkend hii?
Maisha ni haya haya na yana mwisho, uwe na mali usiwe na mali lazima ufikie mwisho wako.
Kula maisha...
View attachment 3095173
Inabidi wachapwe viboko; maisha ni kujichanganya pia na jamii ili kupunguza msongo wa mawazoIntroverts munasemaje tutoke auu?? 😂😂
Maisha ni matamu sana, jifunze kutoka 😀Huwa sitokagi mkuu ,mimi ni wa kazini chooni na kitandani 🤣🤣🤣🤣🤣