Kula maisha, wkend ndio imeanza

Kula maisha, wkend ndio imeanza

Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo.

Mi nimeshapiga pamba zangu nyeupe kwa ajili ya kujichanganya na jamii; we unajipanga kwa lipi katika wkend hii?

Maisha ni haya haya na yana mwisho, uwe na mali usiwe na mali lazima ufikie mwisho wako.

Kula maisha...

View attachment 3095173
Una umri gani Mkuu ?
Nyuzi zako zinaonyesha bado no kijana mdogo na bado hulijui kusudi la maisha yako hapa duniani. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom