🤣🤣🤣poleNilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikua ni kula matunda tu usiku...
Usiwasemee Waafrika wote. Sisi wengine tumeweza kula matunda tu usiku.Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikua ni kula matunda tu usiku...
Tuliambiwa tule matunda tu kisha tulaleSo ukila matunda unalala.
Au unasubiri chakula kingine.
Movie za kikorea zisikudanganye mkuu,mtu ukabebe zege uishie kula matunda.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sawa mkuuUsiwasemee Waafrika wote. Sisi wengine tumeweza kula matunda tu usiku.
Hata mimi mwanzoni nilikuwa napata shida, lakini baada ya siku chache nikazoea. Nina zaidi ya miaka saba sasa tangu nianze huu utaratibu wa kula matunda usiku na nimeshazoea kabisa na mwili wangu naumudu sana...
Sawa kabisa. Tunashauriwa kula kifungua kinywa cha kushiba na chakula cha mchana cha kutosha. Jioni unamalizia na matunda na bites kama karanga unashushia na kahawa, chai au sharubati (juice) siku inakuwa imepita hiyo!inategemea,kwa mfano leo nimepiga biriani moja matata sana mpaka sahivi sina mpango tena wa kula.ukila vizuri mchana unaweza kulalia matunda.
Ha ha ha..hili suala ni gumu sana mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah mkuu umenichekesha, na mm niliwahi kupitia formula hiyo nikashindwa mana ubao unakupiga Ile mbaya hulali aiseee, nilichofanya nilinunua jezi na Mpira nikawa nakwenda mazoezi hasa weekend, mwili haukupungua ila nili gain strong muscles na wepesi na msosi nikaendelea kugonga kama Kawa na mwili haukuongezeka Tena nikawa kama na maintain.