Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

Komaa mpaka siku ya 4 unakuwa poa tu, ila ndo utapungua mpaka wakusahau, niliifanya hii nilipungua kibongo bongo mwanamke kutokuwa na vinyama huvutii nimerudi kwenye mwili wangu.
 
Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikua ni kula matunda tu usiku...
Unene wa wengi husababishwa na chakula.

Yaani wanene wengi wanakula sana.

Kumdiet mtu mnene mpaka umlazimishe, hawezi kujinyima kwa hiari.

Nilikuwa na jamaa yangu anafuta ndoo nzima ya ubeche, kreti la soda, galoni la maziwa na mkungu wa ndizi peke yake na alikuwa bonge la jitu limepanda hewani hasa!

Sasa mtu kama huyo utamdanganyia viparachichi viwili alale!

Kama ulivyosema dieting ni kwa wazungu tu huko!
 
Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku...
Mambo kama haya wanaweza wazungu, anakula fruits ila kwenye friji kuna mazaga zaga na mabites kibao akisikia njaa night kali anafungua friji anajisevia tu.
 
Unene wa wengi husababishwa na chakula.

Yaani wanene wengi wanakula sana.

Kumdiet mtu mnene mpaka umlazimishe, hawezi kujinyima kwa hiari.

Nilikuwa na jamaa yangu anafuta ndoo nzima ya ubeche, kreti la soda, galoni la maziwa na mkungu wa ndizi peke yake na alikuwa bonge la jitu limepanda hewani hasa!

Sasa mtu kama huyo utamdanganyia viparachichi viwili alale!

Kama ulivyosema dieting ni kwa wazungu tu huko!
Mhhhhhhhh!!! Acha fix

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mhhhhhhhh!!! Acha fix

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wee bishi mkuu!

Power Mabula na power Mwamgiga unawafahamu ama kuwakumbuka?

Ukimwacha power Mwanakulya hao wote wameishi enzi zangu na wote takribani ulaji wao ulikuwa ni wa kufuru.

Mtu anafungua soda kwa ukucha wa dole gumba na gari anaivuta kwa meno inaserereka pamoja na maonesho mengine ya kutumia nguvu kama hayo!

Sema chakula chenyewe kilikuwa ni cha "bure" wakati huo Serikali ikijali sana wanamichezo.

Nilikuwa ninajiuliza sana, "hivi mtu kama huyu anaweza kula hivi kwa chakula cha kuhemea toka mfukoni mwake"!
 
Wee bishi mkuu!

Power Mabula na power Mwamgiga unawafahamu ama kuwakumbuka?

ukimwacha power Mwanakulya hao wote wameishi enzi zangu na wote takribani ulaji wao ulikuwa ni wa kufuru.

Mtu anafungua soda kwa ukucha wa dole gumba na gari anaivuta kwa meno inaserereka pamoja na maonesho mengine ya kutumia nguvu kama hayo!

sema chakula chenyewe kilikuwa ni cha "bure" wakati huo serikali ikijali sana wanamichezo.

Nilikuwa ninajiuliza sana, "hivi mtu kama huyu anaweza kula hivi kwa chakula cha kuhemea toka mfukoni mwake"!
Mazingaombwe aka kiini macho
 
Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku...
Mkuu kama unatumia usafiri binafsi basi jiwekee kwa kila wiki kutumia usafiri wa umma walau mara 2 au 3.. kutembea ni mazoezi mazuri sanaa binafsi huwa naji balance kwa kutembea unanyoosha viungo unakua fit na muda mwingine kugombania gari ni zoezi tosha.

Na una save gharama pia maisha yamepanda.
 
Ule mapapai na mafyurisi ufike asubuhi utani huo unatakiwa pia uwe na mchanganyiko mzuri wa matunda na pia mchana au asubuhi uwe umekula nini pia...

Ila dawa ya yote ni kuzingatia mazoezi hata ya kutembea umbali mrefu au kwenye minute kama utashindwa mpira au kuogolea...mazoezi ni sehemu yangu ya Maisha nazingatia mno kuliko kuambiwa hiki usile kula hiki ni Uvivu wa kufanya mazoezi tuu..
 
Back
Top Bottom