City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
lazima upigwe cheni
🤣maisha ni magumu sana ukichagua njia ya kutokea badala ya kuingilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lazima upigwe cheni
🤣maisha ni magumu sana ukichagua njia ya kutokea badala ya kuingilia
Mkuu wewe upo kama mimi Ila tunachotofautiana mimi pamoja na kula kula kote mwili hauwi na uzito mkubwa nipo normal, nakula mpaka usiku yaani siwezi kucheck movie bila kula au kunywa chochote na usiku hata nikishtuka usingizini lazima nile chochote yaan sina formula kwenye suala la kula Ila mwili wangu sio mnene ni wa kawaida tumi ni mtu wa kula kula kila dakika, yani ikipita miwa nimo, wakipitisha azam ukwaju nipo, wakipitisha fenesi nipo, etc
Mkuu hii sio kweli 90% ya body fats inapungua kutokana na diet na 10% ni mazoezi. Hata upige mazoezi vipi kama ww ni bonge hutapunguza mafuta bali utajazia misuli (buff). Lakini kama lengo ni upate lean body ni lazima uzingatie diet na hii inahusisha kupunguza kabisa kula vyakula vya wanga...kupunguza kula junky foods...carbonated drinks...ongeza ulaji wa matunda...mbogamboga za majani...kunywa maji mengi matokeo utayapata. Kwahiyo vumilia tu matunda usiku inawezekana na utazoeaUle mapapai na mafyurisi ufike asubuhi utani huo unatakiwa pia uwe na mchanganyiko mzuri wa matunda na pia mchana au asubuhi uwe umekula nini pia...
Ila dawa ya yote ni kuzingatia mazoezi hata ya kutembea umbali mrefu au kwenye minute kama utashindwa mpira au kuogolea...mazoezi ni sehemu yangu ya Maisha nazingatia mno kuliko kuambiwa hiki usile kula hiki ni Uvivu wa kufanya mazoezi tuu..
Na hapo katikati ya mchana na usiku yaani jioni angalau uwe umeshtua kiaina mfano supu ya kongoro na vindizi viwili ndo usiku ule matundainategemea,kwa mfano leo nimepiga biriani moja matata sana mpaka sahivi sina mpango tena wa kula.ukila vizuri mchana unaweza kulalia matunda.
Kumbe inafanya kazi hii, na mimi sijui nijaribuKomaa mpaka siku ya 4 unakuwa poa tu, ila ndo utapungua mpk wakusahau niliifanya hii nilipungua kibongo bongo mwanamke kutokuwa na vinyama huvutii nimerudi kwenye mwili wangu
Ijaribu inasemekana chakula cha usiku ndo kinafanya mwili uongezeke kwa speed kwahiyo matunda mboga mboga ina menyu nzuri kwa usiku hunenepiKumbe inafanya kazi hii, na mimi sijui nijaribu
Kitu usichokijua ukifanya mapenzi ukiwa na njaa unaweza kuchukua mpka dakika 20 bila kufika kileleniUle matunda usiku?! Wife utamfikisha?! Nani anapenda kutombewa mke? Mambo ya kipumbavu ya kizungu usiniletee
Uko sahihi kabisaKitu usichokijua ukifanya mapenzi ukiwa na njaa unaweza kuchukua mpka dakika 20 bila kufika kileleni
Mimi tayari ni mnene nataka kupunguaIjaribu inasemekana chakula cha usiku ndo kinafanya mwili uongezeke kwa speed kwahiyo matunda mboga mboga ina menyu nzuri kwa usiku hunenepi
Basi hakikisha usiku ule chakula chepesi km mboga au matunda baada ya miezi miwili leta mrejeshoMimi tayari ni mnene nataka kupungua
Pole sana kwa uzito huo mkuu, pambana ushuke usikaribishe maradhiPole sana ndugu. Nna tatizo kama lako, uzito wangu ulishafika 100+ kgs.
Nina week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku, yani nimedhamilia kufanya hivi for the next 10 weeks. Target ni kupungua kilo 5 katika kipindi hiki.
Inahitaji determination ya hali ya juu, mi ni mtu wa kula kula kila dakika, yani ikipita miwa nimo, wakipitisha azam ukwaju nipo, wakipitisha fenesi nipo, etc
Ila sasa qm fighting uraibu wa kula, am determined kula mlo mmoja tu from now on wards hadi nitapofikisha kilo 72 nazotakiwa kuwa nazo.
Utakuwa umejichanganya mimi nazingatia vyakula toka kukua kwangu pamoja na mazoezi nafanya maana nacheza mpira haswaa tena mpaka ligi za vijana za ndondo nikiwepo Chuga nacheza kwa hiyo hilo tatizo sina matunda na mbogamboga ni sehemu yangu ya maisha.Mkuu hii sio kweli 90% ya body fats inapungua kutokana na diet na 10% ni mazoezi. Hata upige mazoezi vipi kama ww ni bonge hutapunguza mafuta bali utajazia misuli (buff). Lakini kama lengo ni upate lean body ni lazima uzingatie diet na hii inahusisha kupunguza kabisa kula vyakula vya wanga...kupunguza kula junky foods...carbonated drinks...ongeza ulaji wa matunda...mbogamboga za majani...kunywa maji mengi matokeo utayapata. Kwaiyo vumilia tu matunda usiku inawezekana na utazoea
Usiku kula chakula, lakini by 75% yawe matunda na glass ya maziwa / ndio principle yetu Ulaya.Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku.
Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia nenge ya ajabu, imebidi niingie jikoni kurusha nguna tu.
Nadhani hii formula ya matunda tu usiku kwa sisi waafrika haiko applicable kabisa, tuwaachie wazungu tu.
Kuna mambo mengi hawa watu wa lishe wanayaruka na ndio sababu masomo yao hayafanikiwiNilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku.
Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia nenge ya ajabu, imebidi niingie jikoni kurusha nguna tu.
Nadhani hii formula ya matunda tu usiku kwa sisi waafrika haiko applicable kabisa, tuwaachie wazungu tu.