Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Mwaka jana nilikula matunda Kisha nikulala aisee😬😬😬 nilisonga ugali nusu bila mboga Kisha nikarudi kumalizia ndoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaank kile kimuhe muhe hakiishi mpaka uzimalize 😂Soda zinakuita njoo unywe njoo unywe😂😂😂
😂😂😂Yaank kile kimuhe muhe hakiishi mpaka uzimalize 😂
Kujinyima kula kama tiba, jinyime mchana, kula jioni.Pole sana ndugu. Nna tatizo kama lako, uzito wangu ulishafika 100+ kgs.
Nina week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku, yani nimedhamilia kufanya hivi for the next 10 weeks. Target ni kupungua kilo 5 katika kipindi hiki.
Inahitaji determination ya hali ya juu, mi ni mtu wa kula kula kila dakika, yani ikipita miwa nimo, wakipitisha azam ukwaju nipo, wakipitisha fenesi nipo, etc
Ila sasa qm fighting uraibu wa kula, am determined kula mlo mmoja tu from now on wards hadi nitapofikisha kilo 72 nazotakiwa kuwa nazo.
Mkuu chips urojo yai na kuku za kisasa vidali vipi ulikua unakula?Pole sana ndugu. Nna tatizo kama lako, uzito wangu ulishafika 100+ kgs.
Nina week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku, yani nimedhamilia kufanya hivi for the next 10 weeks. Target ni kupungua kilo 5 katika kipindi hiki.
Inahitaji determination ya hali ya juu, mi ni mtu wa kula kula kila dakika, yani ikipita miwa nimo, wakipitisha azam ukwaju nipo, wakipitisha fenesi nipo, etc
Ila sasa qm fighting uraibu wa kula, am determined kula mlo mmoja tu from now on wards hadi nitapofikisha kilo 72 nazotakiwa kuwa nazo.
Hhhhhhhh mkuu jaribu bhna iyo utaiwezaNilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku.
Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia nenge ya ajabu, imebidi niingie jikoni kurusha nguna tu.
Nadhani hii formula ya matunda tu usiku kwa sisi waafrika haiko applicable kabisa, tuwaachie wazungu tu.
Hatari sanalazima upigwe cheni
Kidali chips kavu ilikuwa hata mara mbili kwa sikuMkuu chips urojo yai na kuku za kisasa vidali vipi ulikua unakula?
Mimi nilijaribu for 6 months or so sasa majuzi baada ya tumbo kuwa inajaa sana gesi nimeenda kupima wameniambia vidonda vya tumbo vinaninyemelea, yaani wamenichanganya kweli maana uzito ulipungua vizuri sana..Komaa mpaka siku ya 4 unakuwa poa tu, ila ndo utapungua mpk wakusahau niliifanya hii nilipungua kibongo bongo mwanamke kutokuwa na vinyama huvutii nimerudi kwenye mwili wangu
Mimi napenda sana kutembea tatizo madereva wetu na bodaboda ni shidaaa, wanakuvaa hivi hiviMkuu kama unatumia usafiri binafs bas jiwekee kwa kila wiki kutumia usafiri wa umma walau mara 2 au 3.. kutembea ni mazoez mazuri sanaa binafs hua naji balance kwa kutembea unanyoosha viungo unakua fit na muda mwingine kugombania gari ni zoez tosha.
Na una save gharama pia maisha yamepanda.
Aiseeee, hiyo ni sawa na mdogo wangu, anaamka saa 9 usiku anagonga uporo wa wali then analala tena.Mkuu wewe upo km mimi Ila tunachotofautiana mimi pamoja na kula kula kote mwili hauwi na uzito mkubwa nipo normal, nakula mpaka usiku yaan siwezi kucheck movie bila kula au kunywa chochote na usiku hata nikishtuka usingizini lazima nile chochote yaan sina formula kwenye suala la kula Ila mwili wangu sio mnene ni wa kawaida tu
Huyo ni Mimi mkuu sina ratiba ya kula, muda wowote twende Ila sili mafutaAiseeee, hiyo ni sawa na mdogo wangu, anaamka saa 9 usiku anagonga uporo wa wali then analala tena.
Kunenepa tunaweza kukunenepesha japo kiasi. Nyama hazinenepeshi mkuuDunia duara aisee,mm kila nikila vip sinenepi ,hata nile manyama miezi 20 kila siku siongezeki hata kila moja zaid ya kunenepa mashavu tu...
Kula matunda ushibe, matunda hayana tatizo kabisaa hata ukivimbewaMimi nilijaribu for 6 months or so sasa majuzi baada ya tumbo kuwa inajaa sana gesi nimeenda kupima wameniambia vidonda vya tumbo vinaninyemelea, yaani wamenichanganya kweli maana uzito ulipungua vizuri sana..